Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi,aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje?
Mkuu, kwani kuna ubaya simba akiishi jangwani?Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi,aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje?ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo,
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
vyoyote vile hata wawe lipuli sisi yanga tunachotaka ni makombe back to back
Bakhresa ndiye Simba haswaaa
Mkuu, kwani kuna ubaya simba akiishi jangwani?
So what?
Ubaya hakunaNatamani kusikia JAWABU lake.
Wacha weevyoyote vile hata wawe lipuli sisi yanga tunachotaka ni makombe back to back
Wewe peramiho uliza huko songea walikozaliwa na kukulia kina gharib hao jamaa ni timu ganiHata mmiliki wa Liverpool n shabiki wa man United
N bongo tu ukiwa shabiki wa timu hasimu hawapend kuona ukiwekeza timu yao
Bro mpira n biashara s ushabiki maandazi
Haijalishi mkuu kikubwa wao wanafanya biashara na wanaona wanapata faida na malengo ya timu yanatimizwaWewe peramiho uliza huko songea walikozaliwa na kukulia kina gharib hao jamaa ni timu gani
Kwa hiyo unataka tukusaidie nini?Familia yote ya GSM kama ilivyo familia ya Dewji Na Bakhresa ni wana Simba GSM yupo yanga kibiashara na anatamani Kuisupport Simba ila Mo hawezi kumpa hiyo nafasi.
Aliyemleta GSM Yanga ni mbia wake kibiashara ambaye ni Rais mstaafu...nimtaje? Ipo siku ether bakhresa au GSM ataimiliki Simba maana Simba ni jina kubwa Africa kibiashara na imemlemea Mo.
Mo anafirisika taratibu tangu atekwe
Yanga ni Simba B au kampuni tanzu ya Simba,ukishangilia mafanikio ya Yanga ujue unashangilia Simba.wanabadilishana viongozi na wachezaji kwa maslahi yao tu .ila wenye akili ndogo kwa mujibu wa mama Samia ndio hawaelewi hilo
Nimecheka sanaMakolo wanabadilisha motion tu,mpole,sopu,mayele wa kawaida,manara afungiwe sasa wanakuja na GSM eti ni mkia,muda si mrefu watakuja na aliko dangote nae ni kolo,mirembe waongeze vitanda maana makolo wanapoelekea sio kuzuri