Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

Wote hao ni wamoja! Ni sawa kwa kampuni za mafuta za CAMEL OIL na OILCOM au kampuni za usafirishaji wa abiria za SIMBA COACH na MODERN COAST.
una matatizo Gani ndugu yangu!!?..Airtel mmiliki ni Sunil Bharti Mittal,alianzisha kampuni 1986,India,Zain ni kampuni iliyoanzishwa Kuwait 1983,unasema ndiyo haohao!!!
 
Inakera sana
 
una matatizo Gani ndugu yangu!!?..Airtel mmiliki ni Sunil Bharti Mittal,alianzisha kampuni 1986,India,Zain ni kampuni iliyoanzishwa Kuwait 1983,unasema ndiyo haohao!!!
Hawa WATU kutoka MATAIFA yaliyoendelea huwa wana mbinu nyingi sana kwenye mambo yanayohusu biashara na hicho kitu kuhusu miaka achana nacho kabisa, kwa sababu hawa WATU huwa mbinu nyingi sana na hata wewe kama una MTAJI wa kutosha unaweza kumiliki kampuni iliyoanzishwa mwaka 2000.
 
We Bure kweli yaani...ngoja nikuache
 
Sasa mbona wafanyakazi wa shirecu wamekua fukara?,, Boss wa shirecu mkuu alikua Edward ngw'ani,, mwenyekiti wa washirika nchi nzima, alikua somebody Ndaki, ndugu wa Edward,, so how come walifulia? Huku hance akiwa bilionea?
 
Uliongea mambo ya msingi sana lakini ulipoitaja simba umeniharibia mudi
 
Nilitaka kushangaa,, hao watu wamefulia tunawaona tangu miaka ya 90
Unajua kwenye vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kulikuwa kuna wapigaji na wale watu waliokuwa wanaamini kuwa vile VYAMA VYA USHIRIKA vilikuwa ni vyao. Sasa wale waliokuwa wapigaji ndio wapo vizuri KIUCHUMI hadi leo na wengine walishafulia.
 
Kama nani yuko vizuri?.
Wengi wamefulia, kuanzia nyanza, shirecu, Kacu, etc..
 
Uzi ni simba inapata tabu au familia inadai pesa!
 
Kama nani yuko vizuri?.
Wengi wamefulia, kuanzia nyanza, shirecu, Kacu, etc..
Unajua nyinyi wengine mmeanza kujifunza haya MAMBO baada ya UTANDAWAZI , lakini haya MAMBO yalikuwepo tangu siku nyingi.

Unaambiwa hivi, baada ya KIDUDUYE kufanikiwa kuhamisha shilingi MILIONI MIA TATU za WETCU, mwaka 1996 aliyefuatia kwa mwaka 1997 alikuwa ni MISTER ABILITY na alifanikiwa kuchukua RUZUKU ya kiasi cha shilingi BILIONI TATU kutoka WIZARA YA KILIMO NA UFUGAJI kupitia GINNERY YA NIPHA iliyokuwa inapatikana katika MKOA WA SHINYANGA.

Huo ulikuwa ni mwaka wa fedha wa 1997/98 na alifanikiwa kuhamisha kiasi chote cha fedha kwenda kwenye AKAUNTI ZA NJE 🙏🏽
 
Walipe waliozichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…