Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

Wote hao ni wamoja! Ni sawa kwa kampuni za mafuta za CAMEL OIL na OILCOM au kampuni za usafirishaji wa abiria za SIMBA COACH na MODERN COAST.
una matatizo Gani ndugu yangu!!?..Airtel mmiliki ni Sunil Bharti Mittal,alianzisha kampuni 1986,India,Zain ni kampuni iliyoanzishwa Kuwait 1983,unasema ndiyo haohao!!!
 
Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.

Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008

Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.

Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.

Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.

Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.

RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
Inakera sana
 
Hawa WATU kutoka MATAIFA yaliyoendelea huwa wana mbinu nyingi sana kwenye mambo yanayohusu biashara na hicho kitu kuhusu miaka achana nacho kabisa, kwa sababu hawa WATU huwa mbinu nyingi sana na hata wewe kama una MTAJI wa kutosha unaweza kumiliki kampuni iliyoanzishwa mwaka 2000.
 
EWATU kutoka MATAIFA yaliyoendelea huwa wana mbinu nyingi sana kwenye mambo yanayohusu biashara na hicho kitu kuhusu miaka achana nacho kabisa, kwa sababu hawa WATU huwa mbinu nyingi sana na hata wewe kama una MTAJI wa kutosha unaweza kumiliki kampuni iliyoanzishwa mwaka 2000.
We Bure kweli yaani...ngoja nikuache
 
Ndio, ni kweli! Hata kipindi BOSS BOSS anasamehewa kesi ya UHAINI na kuachiwa huru kipindi cha MZEE RUKSA.

Wale wote waliokuwa watuhumiwa wa kesi ya UHAINI walisaidiwa KIUCHUMI na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Kipindi hicho, BIBI TITI MOHAMMED alipelekwa kwenda kuishi JOHANNESBURG, nchini AFRIKA YA KUSINI na BOSS BOSS alipewa nafasi ya UKURUGENZI na kusimamia kampuni ya kusafirisha mafuta.

Hiyo kampuni ya kusafirisha mafuta ni ya wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA, yaani SHIRECU.
Sasa mbona wafanyakazi wa shirecu wamekua fukara?,, Boss wa shirecu mkuu alikua Edward ngw'ani,, mwenyekiti wa washirika nchi nzima, alikua somebody Ndaki, ndugu wa Edward,, so how come walifulia? Huku hance akiwa bilionea?
 
Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.

Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008

Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.

Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.

Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.

Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.

RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
Uliongea mambo ya msingi sana lakini ulipoitaja simba umeniharibia mudi
 
Nilitaka kushangaa,, hao watu wamefulia tunawaona tangu miaka ya 90
Unajua kwenye vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kulikuwa kuna wapigaji na wale watu waliokuwa wanaamini kuwa vile VYAMA VYA USHIRIKA vilikuwa ni vyao. Sasa wale waliokuwa wapigaji ndio wapo vizuri KIUCHUMI hadi leo na wengine walishafulia.
 
Kama nani yuko vizuri?.
Wengi wamefulia, kuanzia nyanza, shirecu, Kacu, etc..
 
Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.

Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008

Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.

Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.

Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.

Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.

RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
Uzi ni simba inapata tabu au familia inadai pesa!
 
Kama nani yuko vizuri?.
Wengi wamefulia, kuanzia nyanza, shirecu, Kacu, etc..
Unajua nyinyi wengine mmeanza kujifunza haya MAMBO baada ya UTANDAWAZI , lakini haya MAMBO yalikuwepo tangu siku nyingi.

Unaambiwa hivi, baada ya KIDUDUYE kufanikiwa kuhamisha shilingi MILIONI MIA TATU za WETCU, mwaka 1996 aliyefuatia kwa mwaka 1997 alikuwa ni MISTER ABILITY na alifanikiwa kuchukua RUZUKU ya kiasi cha shilingi BILIONI TATU kutoka WIZARA YA KILIMO NA UFUGAJI kupitia GINNERY YA NIPHA iliyokuwa inapatikana katika MKOA WA SHINYANGA.

Huo ulikuwa ni mwaka wa fedha wa 1997/98 na alifanikiwa kuhamisha kiasi chote cha fedha kwenda kwenye AKAUNTI ZA NJE 🙏🏽
 
Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.

Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008

Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.

Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.

Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.

Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.

Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.

RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana
Walipe waliozichukua
 
Back
Top Bottom