Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

Awamu ya uonevu ilikuwa inaipeleka nchi pabaya sana.

Imagine watu wangapi waliokosa ajira za kudumu kwa Hans Pope.
 
Wenye nchi wanajuta hawatapitisha tena mtu mwenye kariba ya hayati kuwania nafasi za juu katika nchi hii
Hawa wenye nchi ni matajiri yasiyoridhika na utajiri yaliyo nao,wanazidi kutukamua tu watu maskin
 
Awamu ya uonevu ilikuwa inaipeleka nchi pabaya sana.

Imagine watu wangapi waliokosa ajira za kudumu kwa Hans Pope.
Magufuli alikuwa na roho ya shetani ndani yake
 
Huko mbele walaji wengi hawanawi mikono wanabugia tu.

Namkumbuka huyu mwamba, mke wake ni mdada maarufu huko kuvuka bahari, aligombea viti maalum jina lilikatwa.

Sijui huo ukwasi kama uko mikono salama maana mwamba walifuatana na mdogo wake kwenda kwa Baba.

Korona mbaya indeed.
 
Korona ilitufanya kitu mbaya,mwamba alikuwa mafia aswa na ilimsaidia kufanikisha mambo yake,biashara ya nafuta imejaa mafia tupu sasa sijui waliobaki itakuwaje
 
mkishakula mikia ya sangara mnakaa kudanganyana, Portsmouth inashiriki ligi kuu ya wapi!?
Aah hivi kumbe ilishashuka daraja 😂😂!! Sasa hivi PORTSMOUTH ipo DARAJA LA KWANZA, nilichanganya jina na timu moja inaitwa AFC BOURNEMOUTH.
 
Mnaolinda legacy mje huku

Cc @erythrote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…