Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha watu waliamua?Afadhali Mungu aliamua hakika.
Hawa wenye nchi ni matajiri yasiyoridhika na utajiri yaliyo nao,wanazidi kutukamua tu watu maskinWenye nchi wanajuta hawatapitisha tena mtu mwenye kariba ya hayati kuwania nafasi za juu katika nchi hii
Sky si Murdoch,au kishauza!?
Magu kama Magu iNchi ngumu sana hii
mkishakula mikia ya sangara mnakaa kudanganyana, Portsmouth inashiriki ligi kuu ya wapi!?KIDUDUYE anamiliki SKY SPORTS, na ndio huyo huyo anayemiliki timu ya PORTSMOUTH inayoshiriki LIGI KUU YA UINGEREZA.
Korona ilitufanya kitu mbaya,mwamba alikuwa mafia aswa na ilimsaidia kufanikisha mambo yake,biashara ya nafuta imejaa mafia tupu sasa sijui waliobaki itakuwajeHuko mbele walaji wengi hawanawi mikono wanabugia tu.
Namkumbuka huyu mwamba, mke wake ni mdada maarufu huko kuvuka bahari, aligombea viti maalum jina lilikatwa.
Sijui huo ukwasi kama uko mikono salama maana mwamba walifuatana na mdogo wake kwenda kwa Baba.
Korona mbaya indeed.
Aah hivi kumbe ilishashuka daraja 😂😂!! Sasa hivi PORTSMOUTH ipo DARAJA LA KWANZA, nilichanganya jina na timu moja inaitwa AFC BOURNEMOUTH.mkishakula mikia ya sangara mnakaa kudanganyana, Portsmouth inashiriki ligi kuu ya wapi!?
mkishakula mikia ya sangara mnakaa kudanganyana, Portsmouth inashiriki ligi kuu ya wapi!?
Mnaolinda legacy mje hukuKama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani.
Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008
Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans Poppe alishatoroka nchi kimafia.
Ishu yake inafanana na mmiliki wa TP mazembe bwana Katumbi alivyowahi kutoroka nchi yake DRC miaka michache iliyopota kabla ya kurejea.
Kuna viongozi wakishika nchi kama una ugomvi nae lazima ukimbie.
Baada ya Hans Poppe kukimbia nchi akapokea ujumbe toka kwa Hayati kuwa arudi nchini hatofanywa kitu ila kwa sharti moja tu,alipe hizo hela dola zaidi ya 300,000.
Hicho ji kiasi kidogo sana kwa Poppe alikubali kurejea nchini Oct 16,2018 akapelekwa kwa DPP jambo la ajabu ikawa sio dola 300,000 tena bali akatakiwa kulipa mabilioni ya shilingi.
Kwa shingo upande akayalipa . kesho yake akapelekwa kisutu na kufutiwa mashitaka,hakuwahi kulala Segerea hata usiku mmoja tofauti na Aveva na Kaburu masikini jeuri ambao walisota sana Segerea.
Sasa familia inataka hizo fedha kupitia mwanasheria wao ,mapesa yenyewe tunaambiwa yalitoroshwa ughaibuni.
RIP Hans Poppe,tangu umetutoka mwezi Sept, 2021 timu yako ya Simba inapata taabu sana