Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Usikute na wao wanamtukana..!!! Unadhani mtu wa mitabia ile hakuwa anakera home?
 
Wasukuma kwa vile ndiyo kabila kubwa Tanzania na lina idadi kubwa ya watu.
Mimi Msukuma lakini sikuwahi kumpenda yule Mhutu aliyejivika usukuma. Ni wapumbavu wachache tu tena wahamiaji haramu wenzake waliojivika usukuma ndiyo walimpenda. Alilichafua sana kabila letu yule mwehu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
waliojaa na kutukana humu ni vijana wachache wenye id zaidi ya 100 wanaotumika kwa kulipwa ujira mdogo kuchafua watu,watanzania wa enzi za mwinyi au mkapa ni watu wazima now wana hekima na busara zao huwezi kuwakuta humu wakiishi kwa ujira wa kutukana watu never
Inaonyesha unawajua na hadi idadi yao unaijua, Fanya kuorodhesha hizo ID zinazolipwa kumtukana JIWE
 
Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.

Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?

Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
Wanaomtukana JPM ni wanaCCM wenyewe hao wapinzani wanaosikika ni spika tu lakini mastermind wa kushambuliwa JPM ni chama alichotokea wakitarajia atawabeba lakini akawatenda vinginevyo ndio maana wana hasira kubwa dhidi yake.

Familia ya JPM ni wacha Mungu hawana muda wa kuzingatia mashambulizi ya kisiasa maana Mungu ndiye atalipiza kisasi dhidi ya wote wenye chuki naye ijapokuwa hayupo tena.
 
Back
Top Bottom