WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Wasukuma kwa vile ndiyo kabila kubwa Tanzania na lina idadi kubwa ya watu.Kwa mtu mwenye akili, atagundua asilimia kubwa ya Watanzania walimpenda JPM, kwa wachache (hasa mafisadi) mkae kimya kwani mtaibika.
Usikute na wao wanamtukana..!!! Unadhani mtu wa mitabia ile hakuwa anakera home?Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma
waliojaa na kutukana humu ni vijana wachache wenye id zaidi ya 100 wanaotumika kwa kulipwa ujira mdogo kuchafua watu,watanzania wa enzi za mwinyi au mkapa ni watu wazima now wana hekima na busara zao huwezi kuwakuta humu wakiishi kwa ujira wa kutukana watu neverMbona Mwinyi na wenzake hawatukanwi
Kwamba kwa sasa mwili unafurahia hali ya sasa..!! 😂😂😂 afu we mdukuzi weweee..!!!Mama amenenepa hatari
Mimi Msukuma lakini sikuwahi kumpenda yule Mhutu aliyejivika usukuma. Ni wapumbavu wachache tu tena wahamiaji haramu wenzake waliojivika usukuma ndiyo walimpenda. Alilichafua sana kabila letu yule mwehuWasukuma kwa vile ndiyo kabila kubwa Tanzania na lina idadi kubwa ya watu.
Inaonyesha unawajua na hadi idadi yao unaijua, Fanya kuorodhesha hizo ID zinazolipwa kumtukana JIWEwaliojaa na kutukana humu ni vijana wachache wenye id zaidi ya 100 wanaotumika kwa kulipwa ujira mdogo kuchafua watu,watanzania wa enzi za mwinyi au mkapa ni watu wazima now wana hekima na busara zao huwezi kuwakuta humu wakiishi kwa ujira wa kutukana watu never
Nkhoi umechafukwa..!! 😂 😂Mimi Msukuma lakini sikuwahi kumpenda yule Mhutu aliyejivika usukuma. Ni wapumbavu wachache tu tena wahamiaji haramu wenzake waliojivika usukuma ndiyo walimpenda. Alilichafua sana kabila letu yule mwehu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri.Mimi Msukuma lakini sikuwahi kumpenda yule Mhutu aliyejivika usukuma. Ni wapumbavu wachache tu tena wahamiaji haramu wenzake waliojivika usukuma ndiyo walimpenda. Alilichafua sana kabila letu yule mwehu
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
wewe namba 1Inaonyesha unawajua na hadi idadi yao unaijua, Fanya kuorodhesha hizo ID zinazolipwa kumtukana JIWE
Hii inaonyesha jinsi ulivyo muongowewe namba 1
habari ndio hiyi tumewashtukiaHii inaonyesha jinsi ulivyo muongo
Hujitambui..!!habari ndio hiyi tumewashtukia
we unaejitambua hujanizidi chochoteHujitambui..!!
Hata saa mbovu, ukifika muda ilipokwamia itaonekana inasema ukweliwe unaejitambua hujanizidi chochote
ndio manaake na ndio mana Mungu ni wetu sote sio wa nyie mnaojitambua tu....patamu hapoHata saa mbovu, ukifika muda ilipokwamia itaonekana inasema ukweli
Wanaomtukana JPM ni wanaCCM wenyewe hao wapinzani wanaosikika ni spika tu lakini mastermind wa kushambuliwa JPM ni chama alichotokea wakitarajia atawabeba lakini akawatenda vinginevyo ndio maana wana hasira kubwa dhidi yake.Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni.
Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake? Au tuko tayari kutukanwa tukifa?
Familia yake najua wapo humu mitandaoni wanasoma tu matusi juu ya baba yao. Mama Janeth naye anayasoma