Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

Hao hawana matatizo na hilo. Matatizo yao,apparently,wanataka miradi aliyoianzisha Magufuli iendelezwe
 
Labda Magufuli mwingine wa Msumbiji.
Hata kama Mbowe angesema kwamba waliokataza mikutano ya hadhara ni kamati kuu ya CCM bado mwendazake ni muhusika namba moja kwani yeye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti wa kikao hicho.
 
Well said but huyo mwendazake alikuwa na nafasi kama commander in chief angekuwa hahusiki na huo ubazazi angehakikisha soon after the incident kwa kutumia vyombo vyake vya ulinzi na usalama ambavyo huapa kumtii angeviagiza vinafanya upelelezi na kuwakamata waliohusika na kuwapiga risasi akina Lissu na kuwapoteza akina Ben Sanane.Pasipo kuingiza visingizio vya ajabu ajabu
 
Endelea kujiuliza pia, je hao wengine waliomtangulia nao wanatukanwa pia (ingawa me sijui kama anayukanwa labda mwenzetu unaushahidi). Mzee wetu Mkapa naye ametangulia mbele za haki naye anafanyiwa hivyo hivyo? Kama sivyo kwa nini itokee kwa JP peke yake? Ktk kufuatilia kwako, umeona hao wanaosema wanaema yaukweli ama ni uongo yote? Kwa nini basi wote waseme waseme uongo tupu?
 
Huwezi mfurahisha Kila mtu
 
Dah kweli hapo umeongea
 
🤣🤣
 
Magufuli ni shetani anayezengea Tanzania mpaka leo!
 
Kuwa kiongozi ni gharama kwenye kila kitu,kuanzia uongozi wenyewe hadi maisha ya kawaida, viongozi na familia zao wanapitia maumivu yote hayo
 
Mchuma Janga hula na wa kwao
 
Reich Fuhrer Adolf Hitler anatukanwa mpaka leo tangu afe miongo mingi iliyopita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…