Pamoja na haya yote lakini bado wanaogopa kuwa na tume huru, halafu pamoja na hiyo tume yao isiyokuwa huru bado wanatumia vyombo vya usalama kupora kura! Kuna haja gani sasa ya kufanya unafiki wote huu wakati tunajua kabisa hawamkupenda Magufuli na walifurahi sana alipofariki?Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.Pamoja na haya yote lakini wanaogopa kuwa na tume huru, halafu pamoja na hiyo tume yao isiyokuwa huru bado wanaiba tena kura!
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Mbona tume inaruhusu majizi ya CCM basi kama mambo ndivyo yalivyo?Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Saa 100 angepumzika tuuuuu....ngoma nzito sana kwake...Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Hakuna mtoto wa Magufuli aliekuwa anapenda siasa hawakujihusisha na mambo hayo ondoa hofuKuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Kalemani amekubaki kutogombea tena?Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.
Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Mikoa hiyo Ina "wanazi" wengi wa JPM , hivyo mvuto mkubwa wa kura utapatikana, na inawezekana wakati wa kampeni, akaahidiwa unaibu waziri wa ujenzi
Hata akigombea watamkata mkiaKalemani amekubaki kutogombea tena?
Tangu awe mbunge hakuna alilofanya, yote yalifanywa na JPM, hana Cha kuonyesha wananchi.Kalemani amekubaki kutogombea tena?
Ila alitufaa sana kwenye uwaziri wa Nishati. Alikua active sanaTangu awe mbunge hakuna alilofanya, yote yalifanywa na JPM, hana Cha kuonyesha wananchi.
Sasa hivi JPM hayupo, hali ndio mbaya zaidi, hakuna mradi wowote ulioletwa na mbunge.
Pia mfumo umemtapika
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Hahahaa, msalimie Mzee Kaswahili na Mgangaji a.k.a Mzee MamboMagufuli hakuacha mtoto anae weza simama jukwaani akajinadi mkuu uo ni uwongo ila wakifanikiwa kumpata mmoja tu aje hapa chato anaweza pata kura nyingi
Tatzo watoto hawana fiundation nzuri kijijini mwa baba yao,
Labda wamlete furaha aliyeshindwa kumalizia majengo yake ya apatment hapo chato kwa sababu mrija wa wizi wa fedha za umma ulio kuwa umejengwa na mjomba wake ulikatwa na Mwenyezi Mungu.
Na kwa kuwa fraha alishiriki kumuua mjomba wake kwa kumdanganya yakuwa hakuna corona nchini,ikumbukwe alikuwa mahabara na yeye ndo alipima papa,mbuzi na Daftari akadai navyo vinaonesha vinacorona mwishowe mzirakende nae akauvaa dadeki akasepeshwa na Sir God,akipwa nafasi ya ubunge lazima na yeye atasepeshwa.
Ingawa mjomba wake,vile vifo vya kwenye viroba na kutupwa vichakani vilimkera Mungu pia ilo nalo likampunguzia sifa ya kuendelea kuishi duniani
Nina mengi hacha niishie hapa sifi leo kutoka
Chato karbu na kaburi la Magufuli.
Asipokuwa makini atatumika na mwisho kudharaulika kama toilet paperKarata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa.
Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia atazunguka na kijana huyo wa JPM Kanda ya ziwa, hasa shinyanga, mwanza, Geita, Simiyu na Tabora.
Kigezo cha Wadanganyika kupiga kura ni mvuto wa mgombea badala ya sera za maendeleo.Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato.