Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

Wewe unajua jiografia wengine kanda ya ziwa wanadhani ni mikoa ya wasukuma tu.
 
Maana ya hii ni kuwa Msoga Gang wamesalimu amri kwa Sukuma Gang. Kumbe ilikuwa ngoma ya kitoto tu haikeshi. Mama Abdul kwisha habari yake
 
Kabisa, unakuta mtu familia yake yote ni raia wa marekani, isipokuwa yeye mwenyewe.
 

Wafanye hayo sio shida, ila wahakikishe Tume huru ipo.
 
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri

Muslim brotherhood walishinda na Mursi akawa Rais, kabla ya kupinduliwa. Hizi dharau zenu zitawatokea puani siku
 

Umeongea kande.
 
Mtalazimika kuiba kura nyingii mnoo...kupora uchaguzi mkienda na Sa100 2025...
 
Kwa hiyo kwa kifupi familia inaenda Kutumika kwa kipande cha Mkate?😆😆😆
 
Huyo jamaa kama ndio yule aliyesoma hotuba siku ya kumuaga baba yake, nilimuona mtu asiye na interest kabisa na siasa, hata kuongea ni mzito, japo najua kwa CCM wakiamua hata kuliweka jiwe hakuna kitakachoshindikana kwao kupata ushindi.
Kuongea ndio kuwa kiongozi?

Nyie ndio wale mnaodhani muongeaji mzuri ndio kiongozi Bora

Unakosea sana ndg
 
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Mchumia tumbo anapojaribu kujenga hoja anajikuta anajikanyaga kanyaga kama hivi
 
Anafaa sana yule mjomba wake mkemia aliyegombea Jimbo la Kawe yule akili zimo za kutosha, hao wengine sijawasikia kichwani wana kitu gani, Yule mkemia Yuko njema kichwani
 
Biharamlo na Chato wanajitambua sana,Magufuli licha ya kukumbilia Jimbo jipya,lakini alikuwa anapita kwa msaada wa Policcm
 
Tume sio Kila kitu, hata USA uchaguzi unaletaga utata, halafu mfumo hauwezi kuruhusu majitu ya hovyo kwa sababu tu yameshinda uchaguzi.
Cc: MuslimBrotherHood, Misri
Kama kuna mfumo thabiti mbona tunaona vichaa na watu wa lbgt wakiwa na nyadhifa kubwa?
 
Acha porojo

Furaha huyo huyo JIWE alimkamata na akiwa karibu nae kwa miaka 2-3
 
Muslim brotherhood walishinda na Mursi akawa Rais, kabla ya kupinduliwa. Hizi dharau zenu zitawatokea puani siku
Morsi angekaa miaka minne tu pale Misri wangepigana. Misri ina Waislamu tofauti, Coptic Orthodox, Jews na wengine alafu nchi iongozwe na Waislamu wenye msimamo mkali. Kwanini kundi hilo limepigwa marufuku Misri, Saudi Arabia na nchi nyingine za Kiarabu. Ni makosa ya kidemokrasia kulichagua lile kundi.

Muslim Brotherhood wamefanya mashambulizi ya kigaidi mengi tu, imagine kwa sasa wao ndio wawe wanaiongoza Misri wakati Hamas inapigana na Israel na wao Misri wanapakana na hizo pande mbili. Wakati huo Muslim Brotherhood ndio waliianzisha Hamas. Maana yake sasa hivi Israel ingekuwa inashambuliana na Misri, it's guaranteed wangeingia vitani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…