Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Hii familia ni ya kipumbavu kabisa. Ina maana wameanua kumuuza ndugu yao kwa mafisi ya CCM yaliyomuua bila huruma? Waache use.nge waombe uchunguzi huru ufanyike kuhusu kifo cha mpendwa wao.

Na Benard Membe nae aliuliwa na nani?, vipi kuhusu kifo cha kaka yake Mbowe uchunguzi utafanyika lini?
 

Kawaulize Malisa GJ na Boniface Jacob kama hamna aliyetekwa
 
Wafuntazka waaafywenu pambafyu
 
Baada ya miaka mitatu Magufuli bado amekufa, hajafufuka.

Hicho ndicho kitu muhimu kabisa.
 
Hakika hata sisi pia hatutowajibu tunawacha watukane!
 
Hii vita ya;
CcmSamia VS CcmMagu lazima mshindi apatikane hata kama mpaka damu itoke puani.
Kinachoificha vita hii isijulikane na walio wengi ni kwa vile Media zote ziko compromised na system kwa kupenda au kwa woga.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Na ni bora waendelee kupiga kimya hivyo hivyo.
Mana siku wakijibu ndo watajuta
 
Waongo na wanafiki hasa kutokea chadema....
Jaribu kutumia akili hata kidogo.
Kuna wanafiki zaidi ya CCM?
Chadema wako against ccm sio magufuli....
Ndege hasara
Bwawa hasara
Kila kitu hasara...
Akili zako fupi sana. Naomba uniwie radhi kwa kukwambia ukweli ulio uchi. Kwanza Sitaki kuamini kuwa umevuka past form5. Ushauri tu, acha kusikiliza hadithi alafu kuja kupayuka ulivyovisikia kwa wachambuzi wa kisiasa n uchumi wa mchongo. Wenzio wanaongea visivyoingia akilini makusudi kuyatetea maslai yao. Wewe unapopayuka valivyokuwa wanaviongelea, unajishusha thamani kwa kuonekana umebeba kichwa kama dispenser ya mate. Samani kwa kutumia lugha nzito, ila inasikitisha mtu kushindwa kusoma na hata kuangalia picha pia ukashindwa
 
Umemjibu vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…