Familia ya Hayati Magufuli: Tumeacha muda ujibu, hatutajibu mtu yeyote

Baada ya miaka 3 babu yako amefufuka
Logical non sequitur.

Babu yangu hakuwa Farao sadist aliyejifanya Mungumtu na kuathiri vibaya maisha ya mamilioni ya watu kwa kuharibu siasa za nchi.

Magufuli alinunua mpaka wanasiasa lakini hakuweza kununua uhai amalize "mitano tena".

Kapigwa daflao anaoza saa hizi.
 
Time is a fair judge
 
Shukuru Mungu mama yako alikuzaa, akatoa huu uchafu tumboni mwake, la sivyo watalaamu wangegundua gonjwa jipyaaa... We ni uchafu... Hakuna mzazi wa kujivunia mpumbavu mwenye akili mgando kama wewe.... Kheri kulala kwenye choo cha soko kuliko kuishi na mpumbavu kama wewe....

Aliyekwambia elimu ndo uelewa ni nani?
Tuaiende mbali

Raisi wako ana elimu gani?
Vipi kuhusu wabunge wako akina msukuma wana elimu gani?
Mwenezi mlomtengua akampa ukuu wa mkoa ana elimu gani?

Hizo shahower bora baba yako angetoa watengenezee shampoo kuliko kutuletea mpumbavu kama wewe, ni hasara kwa taifa na dunia kwa ujumla...

Kweli nimeamini matahila hawafi.
 
"Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo."

SAWA.

Lazima uwe mpumbavu hasa kutegemea mtu ambaye hajagombea nafasi yoyote, halafu ashinde uchaguzi.

Huyo Mbowe na CHADEMA waligombea wapi halafu wakashindwa? Kweli upunguani na ujinga ni sifa ambazo baadhi ya watu wanaziabudu.
 
Ukikiri makosa unaahiwa huru?

Siasa yenu hovyo sana

**** watu humu JF ni punguani kabisa. Yaani ebu fikiria mtu anathubutu kutamka kuwa eti Sabaya alishinda kesi!! Maana yake haelewi hata maana ya kushinda kesi!!

Sabaya alifungwa kifungo cha nje. Maana yake alipatikana na hatia, na yeye akakiri. Mahalama kwa kuzingatia muda aliokaa jela, ikaamua kumpa kifungo cha nje. Na amemaliza kutumikia hicho kifungo, sasa ni huru.

Wendawazimu walitegemea siku zote akae jela? Kwani alifungwa maisha??
 
Marehemu kuna mazuri alifanya. Lakini hilo haliondoi ukweli kuwa alikuwa kiongozi katili, asiyeheshimu katiba wala sheria, na aliyekanyaga demokrasia, haki za watu, uhuru wa maoni na uhuru wa vyombo vya habari, na aliyeruhusu uharamia na ushetani mwingi kutendeka kupitia mashetani binadamu kama Makonda na Sabaya.
 
Unachokisema ni factual ndani ya kichwa chako. You're not worth my time, ila sometimes it is better to stay silent for people to think you're stupid than talking to prove them right.
 

Maneno makali sana
 
Ni kweli kabisa muda umeongea.aliyepokea kijiti hajatufaa sisi wtz.maana c.a.g ameona Kila sehemu pameoza na kunuka uvundo.nchi imepoteza mwelekeo
Na muda umeongea kweli Makonda anahamishwahamishwa kila mara kwa sababu anajifanya kufuata staili ya JPM ambayo wenzake humo kwenye Chama hawataki kusikia hiyo habari πŸ‘πŸ€ 
 
Baada ya miaka 3 ya kifo cha Magufuli, CCM imeendelea kushinda na kuzoa viti vyote vya udiwani hadi Pemba, Mbowe na Zito hawajaambulia chochote kwenye hizi chaguzi ndogo.

Wapinzani Tanzania ni wa hovyo sana
Wanaojaribu kuifuta legacy ya JPM wamo ndani ya CCM zaidi kuliko waliomo ndani ya Chadema πŸ‘

Kila mtu anajua hilo πŸ‘πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…