Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]DOLA Za Zimbabwe hizo
tehBora hata mkivunja kabur angalie ndani ya jeneza kuna nn mana nackia ajafa
Nyamaza wewe haujui loloteWanatafuta kiki ,hao ndio wale wana mavyeti mengi hila hana pesa matokeo yake anakuwa na hasira na mafanikio ya watu,kimoyokimoyo anajiona mpumbavu,akitafuta return on investment ratio
Mi mwenyewe najua kuwa ni kosa ki sheria ila nikawa nasubiria lipi litafuataNiliandika kuwa this is a criminal offence!
Hebu chukua Buku tano toka kwenye mshahara wako halafu kalichane mbele ya walioapa na kuvaa mkanda wa bendera halafu urudi humu utupe mrejeshoWanasheria wa Uganda wakatafute kazi nyingine hela ya mtu kaitunza na maiti wake wewe wawashiwa nini?
Kweli mkuu , hongera kwa kujuaNyamaza wewe haujui lolote
Wale hawajaichana mkuu , wameifadhiHebu chukua Buku tano toka kwenye mshahara wako halafu kalichane mbele ya walioapa na kuvaa mkanda wa bendera halafu urudi humu utupe mrejesho
Pesa madafu bhabha sio issue.....Wanasheria nchini Uganda wameamua kuifikisha familia ya Ivan Mahakamani kwa makosa ya kuzika pesa halali za Jamhuri ya Uganda katika kaburi la ndugu yao Ivan. Kwa nchi yoyote kitendo hicho hakikubaliki kwani pesa hizo zingeweza kutumika katika shughuli zingine na kukuza uchumi wa nchi.
Kitendo hicho kinakuja baada ya marafiki wa Ivan kumwaga mamilioni ya pesa ndani ya kaburi la Ivan kama njia ya kumuaga rafiki yao aliyekuwa maarufu kwa matumizi makubwa ya pesa.
Wanasheria wakiongozwa na Tugume Gideon wa Human Rights Defenders Association Uganda wamesema hawakufurahishwa na kitendo cha RICH GANG cha kuzika mamilioni ya pesa ndani ya kaburi, na kwa vile ni kinyume cha sheria,
wameamua kwenda mahakamani kuomba kaburi la Ivan lifukuliwe, pesa zitolewe zikafanye shughuli nyingine na waliohusika washitakiwe kwa kuharibu kwa makusudi alama ya taifa.
View attachment 517701