DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Licha ya adhabu hiyo, Rehema Mongi, mke wa Juma, ameiambia Azam TV kuwa fedha hizo zinatakiwa kulipwa kabla ya Juni 17, 2025 la sivyo mumewe atauawa au kulazimika kufanya shughuli za utumwa katika kijiji alichotoka mwanajeshi huyo kwa mujibu wa sheria za huko.
Familia hiyo inaiomba Serikali ya Tanzania, mashirika ya haki za binadamu na wadau wengine kuingilia kati na kuokoa maisha ya mpendwa wao kutokana na hali hiyo ngumu na isiyo ya kibinadamu.
Chanzo: Azam TV
Pia soma:
- Dereva Mtanzania anashikiliwa Sudan Kusini baada ya kugonga mtu, inadaiwa Polisi wagoma kumuachia wanataka hela
- Dereva Mtanzania anayeshikiliwa Sudani Kusini kwa kugonga mtu aendelea kusota gerezani, familia ya aliyegonjwa yataka fidia
- Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga aliyeshikiliwa Sudan amehukumiwa miaka mitatu jela
- Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga aliyehukumiwa miaka mitatu jela nchini Sudan aachiwa huru