GE2025 Familia ya Kikwete yakosa upinzani CCM mbio za ubunge majimbo ya Mchinga na Chalinze

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ktk suala la ubunge au uongozi wowote huwa ni karma aliyopewa mtu na mwenyezi Mungu,Hata kama ukiwa mke au mtoto wa rais kama huna karma hata usaidiwe vipi huwezi kutoboa.

kwa hiyo familia ya kikwete wana karma za uongozi ndio maana unawaona leo.nikuhakikishie hawakupitishwa kwa influence za rais mstaafu.
hongera zao
 
Familia zao wakati zinatafuta koneksheni zetu zilikuwa shambani na machungoni kwa hiyo tutulie.

😁😁😆
Hakika mkuu ndiyo maana tunasema aliye nacho siku zote huongezewa.
 
Asante sana mkuu kwa kutupatia uhalisia wa karma inavyofanya kazi.
 
Na wewe unatuona sisi kama matako??
 
CCM ni yao nchi ni yao wacha wale mema.
 
Acha kumsingizia Mungu kwa mambo ya kipuuzi
 
CCM ni yao nchi ni yao wacha wale mema.
 
Watanzania ndo waoga hamna alio katazwa kuchukua form ya kugombea.....
 
Haiwezekani hata mtu mmoja asijitokeze kuchukua form tena kwa jimbo kama la chalinze, kilichofanyika kinajulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…