Familia ya Kisyria huko Uholanzi ilimfunga na kumzamisha binti wao kwenye mtaro. Walipokamatwa, walijitetea kwa kudai ni kawaida katika utamaduni wao

Bado waliendelea kuwa na hatia kwa sababu wakati wanafanya kitendo hicho walikuwa Uholanzi na siyo Syria
 
Ni kwa nini Sasa mtu asi hiari dini , kwani lazima umlazimishe mtu aionje pepo? Mpe uhuru yeye mwenyewe aamue, duu hii dini sijui Kama ni wazungu wanaichafua Ila Kama ni kweli ni Bora Bora ingefutiliwa katika uso wa dunia. Wewe unafunga unanilazimisha ama unaniadhibu mie kwa kula hadharani. Kwani unafunga kimwili ama kiroho.
Ila kiukweli hoo dini wao wanaua mwili na roho je wanaiua.
Unamuwekea mtu uwoga wa kuishi duniani mara kaburi yaani ni vitishovitisho. Mara huko kaburini Kuna MALAIKA wanakuja , mara mbavu zinahama left to right yaani ni mikwara ya kukuogopeshaje.
Mungu akiyetuumba anatupenda na sie tumpende. Sio ulazimishe wanao wakupende kwa hofu Bali kwa upendo na furaha.
Mungu ni pendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…