Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha ajabu haiendi kwa wana imani wenzao kazi kukimbilia kwa wanaowaita makafiriIla Ulaya nao ifike hatua waache kupokea hiyo mijitu isiyostaarabika.
swali moja mkuu, ukisema "haiendi kwa wana imani wenzao" unamaana gani?Cha ajabu haiendi kwa wana imani wenzao kazi kukimbilia kwa wanaowaita makafiri
Uyu Mzee mjaaa Chuki kauwa aka katoto kipalestina Uko Marekani!!! WAZUNGU ni MAGAID zaid kitoto kidogo ichi kimemkosea nini kizee ichi uyo mzzee Kamchoma kisu mala 20+ Uso wake uyo mzee unajieleza namna Chuki ilivo Usoni mwake!!!!!
Bado waliendelea kuwa na hatia kwa sababu wakati wanafanya kitendo hicho walikuwa Uholanzi na siyo SyriaJamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi"View attachment 3260400
Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii, unamuibia hadi doti ya mwisho ya utu wake
Ni kwa nini Sasa mtu asi hiari dini , kwani lazima umlazimishe mtu aionje pepo? Mpe uhuru yeye mwenyewe aamue, duu hii dini sijui Kama ni wazungu wanaichafua Ila Kama ni kweli ni Bora Bora ingefutiliwa katika uso wa dunia. Wewe unafunga unanilazimisha ama unaniadhibu mie kwa kula hadharani. Kwani unafunga kimwili ama kiroho.Mauaji ya namna hii pia hufanyika katika Nchi nyingi sana za kiArab ambazo kuna Utawala wa Sharia za Kiislamu, Watu wengi wanaobadili dini huwa wanauliwa kwa mtindo huu. Kubadili Dini inahesabika kuwa ni Kosa kubwa sana sawa sawa na UASI au Uhaini kwa mujibu wa Sheria zao, Makosa ya namna hii yanaitwa kuwa ni "Blasphemy," na adhabu yake ni Kifo. Iran, Saudi Arabia, Afghanistan, Bangladesh, Kuwait, Pakistan, n.k ndizo Nchi zinaongoza kwenye masuala haya.
The punishment for the Blasphemy is the 'Honor Killing.'
Umeona eeeeeh? Hiyo mijitu minafiki sana.Cha ajabu haiendi kwa wana imani wenzao kazi kukimbilia kwa wanaowaita makafiri