Familia ya Kisyria huko Uholanzi ilimfunga na kumzamisha binti wao kwenye mtaro. Walipokamatwa, walijitetea kwa kudai ni kawaida katika utamaduni wao

Familia ya Kisyria huko Uholanzi ilimfunga na kumzamisha binti wao kwenye mtaro. Walipokamatwa, walijitetea kwa kudai ni kawaida katika utamaduni wao

4c92254397629b2kyx7_800C450.jpg
 
Jamaa wanasema wamefanya mauaji ya heshima kwa maana binti yao alikuwa amegeuka na kuwa kama "binti wa kimagharibi"View attachment 3260400

Mtapeli mwanadamu vyote, ila ukishamteka katika fikra na imani, basiiii, unamuibia hadi doti ya mwisho ya utu wake
Bado waliendelea kuwa na hatia kwa sababu wakati wanafanya kitendo hicho walikuwa Uholanzi na siyo Syria
 
Mauaji ya namna hii pia hufanyika katika Nchi nyingi sana za kiArab ambazo kuna Utawala wa Sharia za Kiislamu, Watu wengi wanaobadili dini huwa wanauliwa kwa mtindo huu. Kubadili Dini inahesabika kuwa ni Kosa kubwa sana sawa sawa na UASI au Uhaini kwa mujibu wa Sheria zao, Makosa ya namna hii yanaitwa kuwa ni "Blasphemy," na adhabu yake ni Kifo. Iran, Saudi Arabia, Afghanistan, Bangladesh, Kuwait, Pakistan, n.k ndizo Nchi zinaongoza kwenye masuala haya.

The punishment for the Blasphemy is the 'Honor Killing.'
Ni kwa nini Sasa mtu asi hiari dini , kwani lazima umlazimishe mtu aionje pepo? Mpe uhuru yeye mwenyewe aamue, duu hii dini sijui Kama ni wazungu wanaichafua Ila Kama ni kweli ni Bora Bora ingefutiliwa katika uso wa dunia. Wewe unafunga unanilazimisha ama unaniadhibu mie kwa kula hadharani. Kwani unafunga kimwili ama kiroho.
Ila kiukweli hoo dini wao wanaua mwili na roho je wanaiua.
Unamuwekea mtu uwoga wa kuishi duniani mara kaburi yaani ni vitishovitisho. Mara huko kaburini Kuna MALAIKA wanakuja , mara mbavu zinahama left to right yaani ni mikwara ya kukuogopeshaje.
Mungu akiyetuumba anatupenda na sie tumpende. Sio ulazimishe wanao wakupende kwa hofu Bali kwa upendo na furaha.
Mungu ni pendo
 
Back
Top Bottom