Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

Eti CCM inazisumbua nchi za magharibi uko sawa kichwani ?chama ambacho kimeshindwa kupanga miji yake kwa usahihi kije kiwasumbue wamagharibi.

chama ambacho kimeshindwa hata kujenga matundu ya vyoo kiwasumbue wamagharini kwa lipi hasa.

Hakuna wapumbavu humu,hizi story peleka kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Hahaha nchi ya wezi hii, alipokuwepo Magufuli alianza kujaribu kuwaweka hadharani. Watu tulipinga utaratibu alioutumia, tukamuita katiri, roho mbaya na kila kitu.

Leo Rais SSH kawaacha wezi wale kwa urefu wa kamba zao, tuna lalamika. Shamba la bibi, kila kitu Zanzibar, kila mtu anakula atakavyo, upigaji wa kufa mtu, na kila kelele tunazozisikia.

Hii yote ni kwasababu watu wana jaribu kulinganisha njia za mwenda zake na huyu wa Kizimkazi.

Leo watu wanatafuta kufukia legacy ya mwendazake kwa kumuhusisha na mauaji ya watu tusio fahamu wamefariki au la.

Wanataka watu waone kukemea uovu ni dhambi, na majbazi yanataka yaendelee kuiba.

Sisi tunaoibiwa tunashangilia mipango ya waovu, na kadri tunavyoendelea hivi naamini hawataki tupate kiongozi mwenye uchungu na nchi na mali za nchi kwa manufaa ya wengi.

Akipatikana wanaanza kumtisha, walikuwepo kina Magufuli, wako wapi.

Jamani haya maneno tukizushiwa sisi hatupendi, kwanini tunawazushia wengine?

Tuletewe ushahidi tuache hizi story za kusadikika.

Tusiwe wepesi kudanganywa na kudanganyika.

Sio kila kibaya kinachosemwa kuhusu tusio wapenda ni kweli.
 
Hapo Kwenye nne hapo

Kumbuka kuna pesa ilidhibitiwa last time na huyo jamaa alikua ouppet

Wanarudi Tena with provocation ya aina nyingine

Once again… watafeli sana
 
Bosi Kiranga sikuwa nimeelewa andiko lako. Ila ukweli ni kuwa hakuna connection ya alichoandika mleta maada na hicho kitabu. Anguko la Tsar lilisababishwa na chawa, na yeye wasaidizi wake kumuona ni kijana hawezi kuongoza. Lakini pia kuna vitu vingine vingi kama kuoa mjerumani, etc. scenario hiyo Tanzania hatuna. Sisi tuna makundi ya mafisadi na wauaji ndani ya CCM, ambayo yalimuua Dkt Magufuli ambaye alikuwa mzalendo.
 
Umeandika kiumbea sana.

Hakuna panapoendana na heading.

Hapa unaowaonea huruma wapigaji huna lolote
 
UKATILI NDANI, UKATILI NJE,MATUKIO YA AIBU, UKATILI, FEDHEA KILA UCHWAO WACHENI MAMA AJINENEPEE
 
Mama mbona matusi ya nini vumilia picha linaKuyyah washirika na vibaraka
 
Kuna watu wengi walimuamini Magufuli aliposema analala na mafaili kitandani, ndipo wengi wetu humu JF tuliananza kuhoji afya ya akili ya Mr.President.
Swalalakulala na mafaili kitandani kama alisema mwenyewe then weaminitu.
Mambo ya kitandani nisiriya mtumwenyewe otherwise usemekama ulikuwepo kitandanikwake ukaona hayapo.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
NEVER AGAIN! ... PERIOD!
 
... ONLY FOR SOME TIME, BUT NOT ALL THE TIME!
 
Vizazi vijavyo havina huo Muda wa kuhangaika na akina Magufuli wala Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…