and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
JPM alijua kuwanyoosha, mtu amefariki miaka lakini hadi leo wanamuota...
Bado watatoa na documentary...
Bado watatoa na documentary...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akina Meena waliandika kitabu kinachofanana na Hiki....!!! Au Amazon ndiyo inakutisha? Watanzania wanawaangalia tu!Hii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.
Kwa ushahidi upi hadi JF waseme Ben Saanane kafariki?Hakuna msiba wala nini.
Magulificatiom must go on.
Huo ndio Ulimwengu tuliomo.
Jamiiforums waweke R.I.P kwenye I.D ya Ben Saanane basi, isiwe tabu. Amekufa aua Hajafa?
Ushahidi ni jambo la muhimu katika hili sualaHizo ni pages 3 tu ndio zimewapagawisha kiasi hiki, vipi kama angeziacha ziwe vilevile pages 15 bila kuzipunguza hali ingekuwaje?
Hapo Kwenye nne hapoNaandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Bosi Kiranga sikuwa nimeelewa andiko lako. Ila ukweli ni kuwa hakuna connection ya alichoandika mleta maada na hicho kitabu. Anguko la Tsar lilisababishwa na chawa, na yeye wasaidizi wake kumuona ni kijana hawezi kuongoza. Lakini pia kuna vitu vingine vingi kama kuoa mjerumani, etc. scenario hiyo Tanzania hatuna. Sisi tuna makundi ya mafisadi na wauaji ndani ya CCM, ambayo yalimuua Dkt Magufuli ambaye alikuwa mzalendo.Hii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.
Kama Watanzania wa leo hawajafikia uwezo wa kuijadili, hata wa miaka 100 ijayo wataijadili.
Mwezi uliopita, December 2024, nimetoka kusoma na kumaliza kitabu kinaitwa "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.
Kitabu kimeandikwa December 2024. Tsar Nicholas II kauawa mwaka 1917. Miaka 107 baadaye watu bado wanaandika vitabu kuhusu anguko la Tsar Nicholas and the house of Romanov huko Russia.
Itakuwa huyo Magufuli kafa hata miaka minne haijafika?
Kuna tofauti kati ya journalism na history.
View attachment 3192691
Umeandika kiumbea sana.Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Kuamini Mungu bila uthibitisho haukubali lkn kuamini habari zisizo na uthibitisho swadakta.Hizo ni pages 3 tu ndio zimewapagawisha kiasi hiki, vipi kama angeziacha ziwe vilevile pages 15 bila kuzipunguza hali ingekuwaje?
Mama mbona matusi ya nini vumilia picha linaKuyyah washirika na vibarakaWewe ni mjinga sana na kilaza huna akili, yaani unafikiri kutumia makalio. Hakuna connection ya alichoandika mleta maada na hicho kitabu. Anguko la Tsar lilisababishwa na chawa, na yeye kumuona ni kijana hawezi kuongoza. Lakini pia kuna vitu vingine vingi kama kuoa mjerumani, etc. scenario hiyo Tanzania hatuna. Sisi tuna makundi ya mafisadi na wauaji ndani ya CCM, ambayo yalimuua Dkt Magufulu ambaye alikuwa mzalendo. Sasa huo ujinga wako unauletaje msg e wewe. Kwanza hata Tanzania haupo kazi kubeba box mjinga kabisa. Acheni sisi tuliopo Tanzania tuwape ukweli maana hata box tulishabeba na tukarudi bongo kushiriki kujenga nchi.
Swalalakulala na mafaili kitandani kama alisema mwenyewe then weaminitu.Kuna watu wengi walimuamini Magufuli aliposema analala na mafaili kitandani, ndipo wengi wetu humu JF tuliananza kuhoji afya ya akili ya Mr.President.
NEVER AGAIN! ... PERIOD!Hii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.
Kama Watanzania wa leo hawajafikia uwezo wa kuijadili, hata wa miaka 100 ijayo wataijadili.
Mwezi uliopita, December 2024, nimetoka kusoma na kumaliza kitabu kinaitwa "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.
Kitabu kimeandikwa December 2024. Tsar Nicholas II kauawa mwaka 1917. Miaka 107 baadaye watu bado wanaandika vitabu kuhusu anguko la Tsar Nicholas and the house of Romanov huko Russia.
Itakuwa huyo Magufuli kafa hata miaka minne haijafika?
Kuna tofauti kati ya journalism na history.
View attachment 3192691
... ONLY FOR SOME TIME, BUT NOT ALL THE TIME!Kwa hii story iliyojaa hearsays sizani kama ime qualify kuishi vizazi hivyo unavyovisema labda ije nyingine iliyojaa jaa nyama kidogo. Bila concreate evidence hii ni hekaya tu . Ikatokea siku yule bibi wa taarabu akasema neno moja tu kui crash itazikwa hapo hapo
Vizazi vijavyo havina huo Muda wa kuhangaika na akina Magufuli wala NyerereHii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.