Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

Eti CCM inazisumbua nchi za magharibi uko sawa kichwani ?chama ambacho kimeshindwa kupanga miji yake kwa usahihi kije kiwasumbue wamagharibi.

chama ambacho kimeshindwa hata kujenga matundu ya vyoo kiwasumbue wamagharini kwa lipi hasa.

Hakuna wapumbavu humu,hizi story peleka kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Hahaha nchi ya wezi hii, alipokuwepo Magufuli alianza kujaribu kuwaweka hadharani. Watu tulipinga utaratibu alioutumia, tukamuita katiri, roho mbaya na kila kitu.

Leo Rais SSH kawaacha wezi wale kwa urefu wa kamba zao, tuna lalamika. Shamba la bibi, kila kitu Zanzibar, kila mtu anakula atakavyo, upigaji wa kufa mtu, na kila kelele tunazozisikia.

Hii yote ni kwasababu watu wana jaribu kulinganisha njia za mwenda zake na huyu wa Kizimkazi.

Leo watu wanatafuta kufukia legacy ya mwendazake kwa kumuhusisha na mauaji ya watu tusio fahamu wamefariki au la.

Wanataka watu waone kukemea uovu ni dhambi, na majbazi yanataka yaendelee kuiba.

Sisi tunaoibiwa tunashangilia mipango ya waovu, na kadri tunavyoendelea hivi naamini hawataki tupate kiongozi mwenye uchungu na nchi na mali za nchi kwa manufaa ya wengi.

Akipatikana wanaanza kumtisha, walikuwepo kina Magufuli, wako wapi.

Jamani haya maneno tukizushiwa sisi hatupendi, kwanini tunawazushia wengine?

Tuletewe ushahidi tuache hizi story za kusadikika.

Tusiwe wepesi kudanganywa na kudanganyika.

Sio kila kibaya kinachosemwa kuhusu tusio wapenda ni kweli.
 
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.

Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.

Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.

Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.

Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.

Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...

Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Hapo Kwenye nne hapo

Kumbuka kuna pesa ilidhibitiwa last time na huyo jamaa alikua ouppet

Wanarudi Tena with provocation ya aina nyingine

Once again… watafeli sana
 
Hii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.

Kama Watanzania wa leo hawajafikia uwezo wa kuijadili, hata wa miaka 100 ijayo wataijadili.

Mwezi uliopita, December 2024, nimetoka kusoma na kumaliza kitabu kinaitwa "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.

Kitabu kimeandikwa December 2024. Tsar Nicholas II kauawa mwaka 1917. Miaka 107 baadaye watu bado wanaandika vitabu kuhusu anguko la Tsar Nicholas and the house of Romanov huko Russia.

Itakuwa huyo Magufuli kafa hata miaka minne haijafika?

Kuna tofauti kati ya journalism na history.

View attachment 3192691
Bosi Kiranga sikuwa nimeelewa andiko lako. Ila ukweli ni kuwa hakuna connection ya alichoandika mleta maada na hicho kitabu. Anguko la Tsar lilisababishwa na chawa, na yeye wasaidizi wake kumuona ni kijana hawezi kuongoza. Lakini pia kuna vitu vingine vingi kama kuoa mjerumani, etc. scenario hiyo Tanzania hatuna. Sisi tuna makundi ya mafisadi na wauaji ndani ya CCM, ambayo yalimuua Dkt Magufuli ambaye alikuwa mzalendo.
 
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.

Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.

Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.

Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.

Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.

Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...

Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Umeandika kiumbea sana.

Hakuna panapoendana na heading.

Hapa unaowaonea huruma wapigaji huna lolote
 
Wewe ni mjinga sana na kilaza huna akili, yaani unafikiri kutumia makalio. Hakuna connection ya alichoandika mleta maada na hicho kitabu. Anguko la Tsar lilisababishwa na chawa, na yeye kumuona ni kijana hawezi kuongoza. Lakini pia kuna vitu vingine vingi kama kuoa mjerumani, etc. scenario hiyo Tanzania hatuna. Sisi tuna makundi ya mafisadi na wauaji ndani ya CCM, ambayo yalimuua Dkt Magufulu ambaye alikuwa mzalendo. Sasa huo ujinga wako unauletaje msg e wewe. Kwanza hata Tanzania haupo kazi kubeba box mjinga kabisa. Acheni sisi tuliopo Tanzania tuwape ukweli maana hata box tulishabeba na tukarudi bongo kushiriki kujenga nchi.
Mama mbona matusi ya nini vumilia picha linaKuyyah washirika na vibaraka
 
Kuna watu wengi walimuamini Magufuli aliposema analala na mafaili kitandani, ndipo wengi wetu humu JF tuliananza kuhoji afya ya akili ya Mr.President.
Swalalakulala na mafaili kitandani kama alisema mwenyewe then weaminitu.
Mambo ya kitandani nisiriya mtumwenyewe otherwise usemekama ulikuwepo kitandanikwake ukaona hayapo.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Hii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.

Kama Watanzania wa leo hawajafikia uwezo wa kuijadili, hata wa miaka 100 ijayo wataijadili.

Mwezi uliopita, December 2024, nimetoka kusoma na kumaliza kitabu kinaitwa "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.

Kitabu kimeandikwa December 2024. Tsar Nicholas II kauawa mwaka 1917. Miaka 107 baadaye watu bado wanaandika vitabu kuhusu anguko la Tsar Nicholas and the house of Romanov huko Russia.

Itakuwa huyo Magufuli kafa hata miaka minne haijafika?

Kuna tofauti kati ya journalism na history.

View attachment 3192691
NEVER AGAIN! ... PERIOD!
 
Kwa hii story iliyojaa hearsays sizani kama ime qualify kuishi vizazi hivyo unavyovisema labda ije nyingine iliyojaa jaa nyama kidogo. Bila concreate evidence hii ni hekaya tu . Ikatokea siku yule bibi wa taarabu akasema neno moja tu kui crash itazikwa hapo hapo
... ONLY FOR SOME TIME, BUT NOT ALL THE TIME!
 
Hii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.

Kama Watanzania wa leo hawajafikia uwezo wa kuijadili, hata wa miaka 100 ijayo wataijadili.

Mwezi uliopita, December 2024, nimetoka kusoma na kumaliza kitabu kinaitwa "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.

Kitabu kimeandikwa December 2024. Tsar Nicholas II kauawa mwaka 1917. Miaka 107 baadaye watu bado wanaandika vitabu kuhusu anguko la Tsar Nicholas and the house of Romanov huko Russia.

Itakuwa huyo Magufuli kafa hata miaka minne haijafika?

Kuna tofauti kati ya journalism na history.

View attachment 3192691
Vizazi vijavyo havina huo Muda wa kuhangaika na akina Magufuli wala Nyerere
 
Back
Top Bottom