Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

Linaloshtua sana ni hizi habari za hawa vigogo kubakana ikulu.
 
Mnapata wapi nguvu ya kuwatetea watu wasiowahusu kama hivi? Hamna mambo muhimu ya maisha yenu? Jitu kama lilikuwa liuaji la hovyo ama laa wewe unahangaika kutetea na kujieleza ya kazi gani?

Ukiwekeza kwenye mambo yako utafika mbali dude
👊 Bravo.... Tufanye yetu
 
Hakuna anayefatilia UPUMBV huu huku mtaani kwa wananchi wa kawaida. Labda kama hii habari ingepata airtime kwenye platforms zingine... Acha sisi tuendelee kubishana tu hapa ila sio kwa wananchi wa kawaida
 

Pamoja na mazuri ya Magu alijingiza kwenye mauaji na hatuwezi kumtetea kwa uuaji! Tuache kusingizia wazungu kila kitu kwani Lissu naye walikuwa wazungu pale Dodoma. Jamaa ego ilizidi kichwa na kujiona Mungu. Ukichaa wake washasema seminari lakini wakapuuzwa kwamba akipata hasira anakuwa kichaa kichaa sasa ndiyo maana tuwe makini na matendo yeyu
 
Sasa kama huelewi utaelewaje kinaathiri nini na hakiathiri nini?
Sasa mtu akisema, kwa lugha ya kiyunani ambayo siilewe, kuwa "mfinye sikio "Tujitegemee". Mimi nikija kufinywa (nitaathirika kwa maumivu ya kufinywa) na nitakuwa nimehujumia haki ya kukaa bil bughudha.

Kwa hiyo, uwe unaelewa ama hulewi jambo la kukuathiri au kukunyima haki likitekelezwa dhidi yako unajua na kuelewa jambo hilo.
 
Wewe ushasema huelewi na hata huelewi unaelewa nini na huelewi nini.
 
Binafsi naona ni mkakati wa kumharibia mama na kuipachika wale Wafuasi wa Mwendazake Kwa sababu watu wanaoitwa maskini walimkubali licha ya huo Ukatili wake.

Watu waelewa na wenye Fedha hawawezi kumuelewa mtu dizaini ya Mwendazake
 
Mchuma majanga hula na wa kwao. Walikula pipi sana hatuna cha kuwasaidia. Wamepita viongozi wengi sana pale ikulu kwa nini awe yeye pekee? Mbona wengine walitenda mabaya ya akina ulimboka nk? mbona mizani ya matendo yao bado inalalia kwemye mema yao zaidi kushinda mabaya yao?

Ni nani hajui ya akina Nyerere na Kambina na Kolimba? Nani hajui ya Mzee Mwinyi na Mrema? nani hajui ya Mkapa? Nani hajui yote hayo na mengine mengi ?Huyu Magufuli alizidi huo ndio ukwelli usiopingika.

Ndio maana tunasema tunapoishi tuishi na wanadamu vizuri sifa ya mtu mzigo hijionyesha yenyewe tu sasa hutegemea utakapokufa utasifika zidi kwa mazuri yako au mabaya yako?

Magufuli hakuwa malaika anayo mazuri yake mengi sana tatizo mabaya yake yameuzidi mzani so alale anakostahili.
 
Huu mwaka nmeamua kuwa mtazamaji tu

Ova
 
Ukifa ndugu haufi tu, bali yale uliyotenda yatakusindikiza. Uwe, mzinzi tutakusema kwa uzinzi wako, ukiwa kibaka pia utasemwa kama kibaka, ukiwa mwema utasemwa kwa mema. Hakuna kisingizio.
 
Hata ikipotea, bado kuna impact kubwa sana kwa baadaye.
 
Naomba pdf mkuu
 
Ok, una haki ya kutoa maoni.
 
Hizo ni pages 3 tu ndio zimewapagawisha kiasi hiki, vipi kama angeziacha ziwe vilevile pages 15 bila kuzipunguza hali ingekuwaje?
Hahahahhahahahaa Ka-flag anataka Watu waende mahakamani ili apate mwanya wa kuwavua nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…