TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Ha ha haaaa! Yote maisha...siyo Kila kitu kieleweke ili Mradi hakiathiri ukweli na haki ya mtu!Inaonekana kwa sababu huna uwezo wa kuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaaa! Yote maisha...siyo Kila kitu kieleweke ili Mradi hakiathiri ukweli na haki ya mtu!Inaonekana kwa sababu huna uwezo wa kuelewa.
Linaloshtua sana ni hizi habari za hawa vigogo kubakana ikulu.Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
👊 Bravo.... Tufanye yetuMnapata wapi nguvu ya kuwatetea watu wasiowahusu kama hivi? Hamna mambo muhimu ya maisha yenu? Jitu kama lilikuwa liuaji la hovyo ama laa wewe unahangaika kutetea na kujieleza ya kazi gani?
Ukiwekeza kwenye mambo yako utafika mbali dude
Nchi hii hakuna wa kuitoa ccm , raia zenyewe kama Kunguru kwa uogaWenzao FRELIMO wako kwenye Dripu. CCM itangoka siku si nyingi.
Sasa kama huelewi utaelewaje kinaathiri nini na hakiathiri nini?Ha ha haaaa! Yote maisha...siyo Kila kitu kieleweke ili Mradi hakiathiri ukweli na haki ya mtu!
Hakuna anayefatilia UPUMBV huu huku mtaani kwa wananchi wa kawaida. Labda kama hii habari ingepata airtime kwenye platforms zingine... Acha sisi tuendelee kubishana tu hapa ila sio kwa wananchi wa kawaidaKiukweli hii ni story hot sana hasa JF , X na baadhi ya mitandao ila njoo ground sio story kabisa Trust me hata mitandao kama instagram na Fb hii sio story . Njoo main streams ndio kabisa huwezi ikuta . Kwa Tz hii ya matukio hili ni tukio dogo sana kama matukio mengine na upepo wake utakata very soon na maisha yataendelea
Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Sasa mtu akisema, kwa lugha ya kiyunani ambayo siilewe, kuwa "mfinye sikio "Tujitegemee". Mimi nikija kufinywa (nitaathirika kwa maumivu ya kufinywa) na nitakuwa nimehujumia haki ya kukaa bil bughudha.Sasa kama huelewi utaelewaje kinaathiri nini na hakiathiri nini?
Wewe ushasema huelewi na hata huelewi unaelewa nini na huelewi nini.Sasa mtu akisema, kwa lugha ya kiyunani ambayo siilewe, kuwa "mfinye sikio "Tujitegemee". Mimi nikija kufinywa (nitaathirika kwa maumivu ya kufinywa) na nitakuwa nimehujumia haki ya kukaa bil bughudha.
Kwa hiyo, uwe unaelewa ama hulewi jambo la kukuathiri au kukunyima haki likitekelezwa dhidi yako unajua na kuelewa jambo hilo.
Binafsi naona ni mkakati wa kumharibia mama na kuipachika wale Wafuasi wa Mwendazake Kwa sababu watu wanaoitwa maskini walimkubali licha ya huo Ukatili wake.Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Mchuma majanga hula na wa kwao. Walikula pipi sana hatuna cha kuwasaidia. Wamepita viongozi wengi sana pale ikulu kwa nini awe yeye pekee? Mbona wengine walitenda mabaya ya akina ulimboka nk? mbona mizani ya matendo yao bado inalalia kwemye mema yao zaidi kushinda mabaya yao?Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Ukifa ndugu haufi tu, bali yale uliyotenda yatakusindikiza. Uwe, mzinzi tutakusema kwa uzinzi wako, ukiwa kibaka pia utasemwa kama kibaka, ukiwa mwema utasemwa kwa mema. Hakuna kisingizio.Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Hata ikipotea, bado kuna impact kubwa sana kwa baadaye.Kiukweli hii ni story hot sana hasa JF , X na baadhi ya mitandao ila njoo ground sio story kabisa Trust me hata mitandao kama instagram na Fb hii sio story . Njoo main streams ndio kabisa huwezi ikuta . Kwa Tz hii ya matukio hili ni tukio dogo sana kama matukio mengine na upepo wake utakata very soon na maisha yataendelea
Hongera sana kwa kuelewa unaelewa nini ingawa kueleza wengine waelewe kwa njia Rahisi Kuna kuelemea!Wewe ushasema huelewi na hata huelewi unaelewa nini na huelewi nini.
Naomba pdf mkuuHii ni historia imeandikwa itadumu vizazi na vizazi, si habari ya kujadiliwa leo tu.
Kama Watanzania wa leo hawajafikia uwezo wa kuijadili, hata wa miaka 100 ijayo wataijadili.
Mwezi uliopita, December 2024, nimetoka kusoma na kumaliza kitabu kinaitwa "The Last Tsar: The Abdication of Nicholas II and the Fall of the Romanovs" by Tsuyoshi Hasegawa.
Kitabu kimeandikwa December 2024. Tsar Nicholas II kauawa mwaka 1917. Miaka 107 baadaye watu bado wanaandika vitabu kuhusu anguko la Tsar Nicholas and the house of Romanov huko Russia.
Itakuwa huyo Magufuli kafa hata miaka minne haijafika?
Kuna tofauti kati ya journalism na history.
View attachment 3192691
Ok, una haki ya kutoa maoni.Naandika kwa uchungu sana kiukweli nimesikia machozi nikiamini hakuna cha bahati mbaya ila walio panga wamefanikisha mpango wao japo hawakujuwa nini kitatokea.
Simlaumu Kabendera ila nataka kuamini Kaebendera hayupo peke yake hii nikazi nzuri sana ilio pangwa ikapangika.
Inaweza ikawa nikuwaminajili yakuwa tisha waliopo kwenye mamlaka kutafakari njia zao na yakwamba kesho nawao ni zam yao so wapunguze speed.
Pili yaweza kuwa ni kufanya character assassination ili kupunguza kelele za kumkumbuka Magufuli japo naona hii haitosaidia watu wanaona Hayati anaonewa yaani wa Tz hawawaelewi masikini walimuelewa sana hata kama alikuwa mvuta bangi wanamkubali.
Tatu yaweza kuwa nimkakati wakiusalama kuwasafisha waliopo kwenye mfumo yaani mkakati wakusafisha safisha serikali yote ina maana walipo kwenye viti wajiandae maana watasafishwa hakuna wakurudi 2025.
Nne yaweza kuwa ni makati wa ki intelligence wa nchi za magharibi kutaka kuisambaratisha ccm nadhani wamewachoka so wanatumia haka kakitabu kuivuruga ccm na nikweli hii mbinu wamefanikiwa sana hata kenya Tanu ilinuka dam mpaka wakasema wagawane fito ila team ni ile ile... kwa Tz CCM inawasumbuwa magharibi sasa upo msemo unasema nitampiga mchungaji na kondoo watatawanyika. Mch wamesha mlaza next ni vijakazi kwahiyo ktk jicho la usalama kama mch amesha anguka vijakazi wanamalizana nao kimya kimya mtasikia mengi sana alio sema Mch Gwajima.... connect dot...
Mwisho familia nadhani familia ya Magu kaz wanayo kuna kila dalili ile scenario ya Taifa fulani ikawakumba hata yule kijana ajiangalie sana hii ni picha mbaya huyu ni bundi analia hawezi kuwaacha salama.
Hahahahhahahahaa Ka-flag anataka Watu waende mahakamani ili apate mwanya wa kuwavua nguoHizo ni pages 3 tu ndio zimewapagawisha kiasi hiki, vipi kama angeziacha ziwe vilevile pages 15 bila kuzipunguza hali ingekuwaje?