Familia ya Magufuli ipo kwenye msiba mwingine mzito, hivi mnajua kile kinaenda tokea...

sikuzaliwa nikiwa na roho mbaya japo marehemu alinifanya kuwa na roho mbaya
 
Sasa mbona unamtukana tu Kiranga, kana kwamba yeye ndio kaleta uzi au kaandika hicho kitabu?

Naungana na Kiranga, kama watz wengi mna akili kama hizi zako, basi kitasomwa na kujadiliwa na watanzania wa miaka 100 ijayo.

Mchambuzi nguli Bwana Ahmed Rajabu ana msemo wake huwa anapenda kuutumia, huwa anasema ''KILICHOANDIKWA KIMEANDIKWA''

Kiranga njoo uone matusi ya mfuasi wa Magu, hadi utacheka!
 
Na nyie mazuzu tumewachoka,kutwa na huyo magufuli wenu utadhani yeye ndio muanzilishi wa ili taifa la Tanzania,kwamba mnataka atajwe kwa wema na kila mtu, nyie watani zangu washamba haitakiwi mpewe nchi tena na ushamba wenu
 

Mkuu,

Nimejibu hiyo ad hominem fallacy katika post #50 .

Kuna watu hawajui kusoma kwa ufahamu, halafu hapa JF tunawasiliana kwa maandishi, hivyo, kuelewana lazima iwe vigumu.

Hivyo mimi nitawajibu si kwa kutaka kuwaelimisha wao, bali kwa kuelimisha wengine watakaosoma.
 
Kwa ushahidi upi hadi JF waseme Ben Saanane kafariki?
Exactly my point.

Nimesoma nyuzi humu kuhusu kama tatu kuhusu kitabu cha Kibendera.

Niliyoyakuta humo, ni kwamba Hayat Rais ndie aliyempiga risasi Ben Saanane, kwwmba, kwenye kitabu hicho(sijakisoma) Kabendera anayajua hayo.

Sasa kama Kabendera ni kweli ni mtu wa Kuaminiwa na kile alichoandika kitabuni, ikiwa na kwamba anajua Bena Saanane ameshakufa, kwanini Jina lake hapa JF haliwekewi R.I.P kama ilivyo kwa wengine?

Rhetorically, Hakuna Ushahidi wowote ule!

======
Watanzania waelewe hawa "Mamluki" hawa wanafanya kampeni za Kisaikilojia kuzima Uamsho wa Hayat Magufuli, kwamba kuna mambo mengi tunaweza kuyafanya wenyewe kama Nchi bila kuwa wategemezi! Yaani Hawataki Watanzania wajiamulie mambo yao wenyewe.

======
Magulification must go on
 
Mi sipendi kuona watu wanaburuzika kwa vijihadithi vya kutunga.
Eti Kabendera ni muandishi wa habari za uchunguzi muda mrefu, sasa kama anao ushahidi kwanini asipeleke kwenye ofisi ya DPP, na serikali wakijiridhisha, then watoe tamko, Magufuli aliisha fariki hakuna wa kuchukuliwa hatua, ni kwamba familia ya marehemu watapata closer, na kama ni fidia, watajuana na serikali, na maisha yatasonga mbele.

Lakini hakuna ushahidi, ni hear say, kwamba aliweza kuhoji watu 50, hii pekee haitoshi nataka mwenye video, au aliyeshuhudia first hand, ataieleza ofisi ya DPP mwanzo mwisho, kikithibitika sawa. Sio hizi porojo za kutengeneza.

Siyo kila kibaya kinachosemwa kuhusu mbaya wako ni kweli.
 
Hayati anaonewa mtu aliye andikwa altwe hai basi
 
Magufulication must go on!

Torture and killing of opposition, personality cult, must go on!?

Hivi unaelewa unachokiandika ndugu?

Watanzania kujiamulia mambo yao wenyewe ndio kuteka na kuua watu?

Ndio kutofuata sheria na kufanya unachoamua mwenyewe kama raisi bila kujali mihimili ya dola?

Acheni kujitoa ufahamu nyie.

Tukubali tu kuwa kwa miaka takribani sita, nchi iliongozwa na mwendawazimu.
 
That nigg* was a killer
Direct or indirectly.
 
Mi sioni cha maana na hicho kitabu. Maana mtu anayemtishia hayupo wala serkali yake haipo. Haya iqe kweli what next kwake?
Ni mjibga tu hata kuhamishwa upepo kwa kile watu wanatakiw .
Nasinzia
 

Nakumbuka wewe ndiye ulimpa vitisho Ben saa nane mda mfupi kabla ya kutekwa
 
Hizo ni pages 3 tu ndio zimewapagawisha kiasi hiki, vipi kama angeziacha ziwe vilevile pages 15 bila kuzipunguza hali ingekuwaje?
BBC anakuja kuchoma moto maiti ya mtu iteketee kabisq na mifupa..muda utaongea
 
Umeshakata,Na zaidi huo mchache umempaisha zaidi MAREHEMU kuushika uongozi.
 
Hakuna msiba wala nini.

Magulificatiom must go on.

Huo ndio Ulimwengu tuliomo.

Jamiiforums waweke R.I.P kwenye I.D ya Ben Saanane basi, isiwe tabu. Amekufa aua Hajafa?
So mngemuacha aende Sasa mbona mnamfukuafukua.
 
Mkuu kama wewe huna ushahidi, unasemaje yaliyoandikwa ni uzushi. Utafiti hupingwa kwa utafiti sio mahaba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…