Hakuna caption ya breaking news wala news alert nimeweka! ZINGATIA HILO RootTukio limetokea Tarehe 9 mtu anaripoti kama limetokea leo.
Anatunga wamevamiwa wakati muuaji alikua hapo hapo nyumbani
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji2827][emoji2827][emoji2827]Mshana sio kawaida yako kutoa habari ya mapungufu kama haya. Mimi Leo nimekusamehe Ila usirudie tena mkuu.
[emoji2815][emoji2815][emoji2815][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Avae Mshana Jr alikuwa anaandika kwa haraka kuwahi kuitupia humu JF hii habari kwani simu janja yake ilikuwa na asilimia 1 ya chaji ya betri. Msimlaumu.
Nimeacha ulozi rafiki natafuta fani mbadalaMshana mbea siku hizi hatare
Leo umenifaa hongera..in future uache ule upuuzi wakoMfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.www.mwananchi.co.tz
Mwanamke mshenzi sana lazima huyo jamaa alikuwa anamla hata kabla ya jamaa kufariki sababu amemuamini vipi mpaka kujua deal za mwanamke na kujua kwamba ana hela nyingi? Women bana tinahangaikaga sana kuwatafutia hela Ila hawana maana kabisaWanawake bhana!! Mume kafariki juzi tu keshapata HAWARA hadi anajua nyumbani kwake na hela zilipo!!!! Huyo hawara anayepajua home mume kafa juzi tu lazima alikuwepo kabla. Mjane anaishi mwenyeweee na wanawe tu very selfish utakuta hapo wakwe, mawifi na mashemeji aliwakatia laini wasiguse urithi alioachiwa akaamini mlinzi na kibenten.. Matokeo yake watoto malaika wanauwawa very sad!!!
Soma na usome tena nilichoandikaUlitaka Mshana Jr. aende amuulize umri wako, shughuli zako ni zipi, una miliki mali gani!!!!!!
Watu wengine bana, sijui!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe uache upuuzi wa kumpinga mzalendo namba mbili aliyewahi kupatikana nchi hii. Mimi huwa najitahidi kukusetiri ila hubebeki
Paskali una undugu na pisikali ?Wajameni, this is very sad!. Emmy Kaungamno, alikuwa jirani yetu next Door, enzi za udogoni pale Drive in Flats, "mafletini". Last Sunday nimesali Msasani Lutheran, nikasalimiana nae, na kujoke, how come, she looks so cute as if she is early twenties, na kusema lazima kuna watu wanatunza!, akasema thanks, hakuna mtu ni Almight God only!. Its as if alikuwa anatuaga!. So sad!.
Paskali
Wee kiaZi mbatata kweli tangu lini kayafa akawa mzalendo? UZALENDO MY FOOT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe uache upuuzi wa kumpinga mzalendo namba mbili aliyewahi kupatikana nchi hii. Mimi huwa najitahidi kukusetiri ila hubebeki
Nadhani kushuka kwa kodi ya vileo kumechangia hali hii.
Upuuzi wako ulianzia Korogwe TTC, huwezi kuelewa hali halisi! In fact mtu ambaye ana elimu ya kuunga kama wewe ndiyo matatizo yenu. Poleni sana kijanaWee kiaZi mbatata kweli tangu lini kayafa akawa mzalendo? UZALENDO MY FOOT[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tatizo la wanawake Aged kupenda vijana kitu hawaelewi vijana wanatumia makalio kufikiri huyo mrembo angekuwa anatoka na mtu mzima mwenzie mwenye familia yasinge mkuta
Kumbe una wivu na elimu yangu! What a stupid reply!Upuuzi wako ulianzia Korogwe TTC, huwezi kuelewa hali halisi! In fact mtu ambaye ana elimu ya kuunga kama wewe ndiyo matatizo yenu. Poleni sana kijana