Maya Angelou
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 1,086
- 2,576
Uko sahihi kabisa, lakini kumbuka vijana bado wana mataminio mengi ya sex, kwa hiyo mmama anapokuwa kwenye relationship na kijana akubali tu kuwa ataumizwa sana au atumiwe kwa ajili ya pesa tu na mwisho wa siku yamtokee kama ya huyo mama wa masaki
Kwanza ni neighbour next door, 2, tuna age gap kubwa, na tatu, mtu ukikuwa nae, is just like my little sister!.Pasco ulitaka kula kimasihara
Ova..
Aise.Kwa ambao hamjaelewa
Huyo mama mumewe Joel ameshafariki, hivyo mama akatafuta kibenten/boyfriend ..kibenten akaingia tamaa baada ya kuona mama anapeleka pesa benki mara nyingi. Hivyo akasuka mchongo na mlinzi wakaleta majambazi
Wakaua watoto wawili kasoro mlinzi..
Mlinzi japokuwa alipoozwa na pesa lakini kafichua siri.. Na hivyo wote wamekamatwa tayari
Sahihi kabisa,lakini naamini vyombo vyetu vitambaini mhusika/wahusika wa huo unyama.Kesi zote mbili zitaunganishwa na upelelezi zaidi wa mahusiano wa Mke nao utaendelea.
Isije kuwa hiyo tukio la Iringa linawekwa hapa kuhalalisha tukio la masaki kuwa ni sawa au ni yeye tu.
Mimi pia nahisi ni beneficial... ndugu wanaopaswa warithi mali hizo... waangaliwe sana
Kuna mtu mmoja ambaye anamfahamu huyo Shadrack anadai kwamba hizi tuhuma za kuuwa si mara ya kwanza kwake,alishatuhumiwa kuuwa huko kijijini kwao alikokuwa akiitwa Shalaki na kukimbilia Dar na kujiita Shadrack,inasemekana alimchinja mjomba yake kwa tuhuma za kishirikina.
Jamani matajiri msichukue watu ambao hata hamjui historia yao ya nyuma,chondechonde.
OMG.... I can't take this..Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa
Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.
Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.
“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.
“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.
Soma pia
1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili
View attachment 1816190
Kwakweli haingii akili,Ila kwakuwa wameshamtia mikononi kama nayeye anahusika atasema tu,na huko kwao inasemekana alikuwa anatuhumiwa tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja.Sawa ana historia Ya kumwaga damu , ndio wote watatu wachinjwe kwa wakati mmoja mama na wanae wasipige hata kelele kujiteteA tena na house boy ?
hapana sio kweli
Sasa haya boyfriend yametoka wapi, nimejaribu kusoma taarifa ya kamanda sijaona sehemu inayomzungumzia boyfriend. Naona hayo ya boyfriend ni yako Mshana JrFamilia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa
Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.
Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.
“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.
“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.
Soma pia
1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili
View attachment 1816190
Mm najiulizaSasa haya boyfriend yametoka wapi, nimejaribu kusoma taarifa ya kamanda sijaona sehemu inayomzungumzia boyfriend. Naona hayo ya boyfriend ni yako Mshana Jr
Hatare Sana lohNimekuona mahali fulani, umependeza na shera lako
Why not?Unawatumia hao ?
Huyo kijana jinga kabisa ,ngja abinywe pumb kwamzaFamilia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story
Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa
Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.
Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.
“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.
Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.
“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.
Soma pia
1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili
View attachment 1816190
Huyo Boyfriend hakuwa kijana ni mtu mzima na kama mmesikia mohojiano ya majirani alimuja akapiga honi sana hakufunguliwa ndipo akaenda kuripoti .Gari lake pia lilikuwa ndani kama sikosei kutokana na.shuhuda za majirani.Jamani msitungeUpo sahihi mkuu hilo la tamaa za vijana wamama wawe makini
Looh umenishinda tabia nimechekaHuyo ndo joe? Anaonekana mtamu hatari
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nadhani kushuka kwa kodi ya vileo kumechangia hali hii.