Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Uko sahihi kabisa, lakini kumbuka vijana bado wana mataminio mengi ya sex, kwa hiyo mmama anapokuwa kwenye relationship na kijana akubali tu kuwa ataumizwa sana au atumiwe kwa ajili ya pesa tu na mwisho wa siku yamtokee kama ya huyo mama wa masaki

Upo sahihi mkuu hilo la tamaa za vijana wamama wawe makini
 
Kwa ambao hamjaelewa
Huyo mama mumewe Joel ameshafariki, hivyo mama akatafuta kibenten/boyfriend ..kibenten akaingia tamaa baada ya kuona mama anapeleka pesa benki mara nyingi. Hivyo akasuka mchongo na mlinzi wakaleta majambazi

Wakaua watoto wawili kasoro mlinzi..
Mlinzi japokuwa alipoozwa na pesa lakini kafichua siri.. Na hivyo wote wamekamatwa tayari
Aise.

Nimekumbuka huu wimbo wa FM Academia Acha tamaa.

The lack of money is the root of all kind of evil, pay attention |
Acha tamaa mwanangu, amenikanya mama aliyenizaa,
Jichungee, amesema nami,
Tukitafuta pesa juu tutaiba, tabia mbaya,
Hakuna aliyezaliwa ni mwizi,
Hakuna aliyezaliwa ni kahaba,
Tabia hizo twaziiga tukitafuta pesa,
Binadamu hukubali afanye mambo ambayo hata yasiyo halali juu ya pesa,
Yuda alimuuza bwana Yesu, kaini naye alimuua abel,
Vijana wanaopenda sugar mammie ukiwaulia, eti wanatafuta.

Acha Tamaa elombe kichinja, acha tamaa said commorien.

Hebu nenda YouTube kamsikilize kabeya alivyotema busara humu.
 
Kesi zote mbili zitaunganishwa na upelelezi zaidi wa mahusiano wa Mke nao utaendelea.
Isije kuwa hiyo tukio la Iringa linawekwa hapa kuhalalisha tukio la masaki kuwa ni sawa au ni yeye tu.
Sahihi kabisa,lakini naamini vyombo vyetu vitambaini mhusika/wahusika wa huo unyama.
 
Kuna mtu mmoja ambaye anamfahamu huyo Shadrack anadai kwamba hizi tuhuma za kuuwa si mara ya kwanza kwake,alishatuhumiwa kuuwa huko kijijini kwao alikokuwa akiitwa Shalaki na kukimbilia Dar na kujiita Shadrack,inasemekana alimchinja mjomba yake kwa tuhuma za kishirikina.
Jamani matajiri msichukue watu ambao hata hamjui historia yao ya nyuma,chondechonde.

Sawa ana historia Ya kumwaga damu , ndio wote watatu wachinjwe kwa wakati mmoja mama na wanae wasipige hata kelele kujiteteA tena na house boy ?

hapana sio kweli
 
Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story

Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa

Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.

Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.

“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.

“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.

Soma pia

1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

View attachment 1816190
OMG.... I can't take this..
😭😭😭😭😭😭
 
Sawa ana historia Ya kumwaga damu , ndio wote watatu wachinjwe kwa wakati mmoja mama na wanae wasipige hata kelele kujiteteA tena na house boy ?

hapana sio kweli
Kwakweli haingii akili,Ila kwakuwa wameshamtia mikononi kama nayeye anahusika atasema tu,na huko kwao inasemekana alikuwa anatuhumiwa tu hakuna ushahidi wa moja kwa moja.
 
Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story

Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa

Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.

Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.

“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.

“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.

Soma pia

1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

View attachment 1816190
Sasa haya boyfriend yametoka wapi, nimejaribu kusoma taarifa ya kamanda sijaona sehemu inayomzungumzia boyfriend. Naona hayo ya boyfriend ni yako Mshana Jr
 
Mm najiuliza
Huyo boyfriend siku 3 hajaongea na mpenzi wake asishtuke kweli kwamba mbona hapatikani kwenye simu?
Boyfriend alitakiwa aww wa Kwanza kuanza kumtafuta na kutoa taarifa polisi kwa vile hawajawasiliana kwa simu
Na kwa vile alikuwa anaweza kuingia kwenye hyo nyumba nilitegemea awe was Kwanza kugundua maiti
Hata Kama nyumba ilikuwa imefungwa angeweza kutafuta ndugu au polisi wakaingia
 
Acheni polisi ifanye kazi yake na sio kuingilia majukumu ya kiupelelezi
 
Familia ya mr Joe Mutaboyerwa imepigwa mapanga inawezekana ni mlinzi wao mama na watoto wawili wote wameuwawa [emoji33]
Very sad story

Inasemekana ni njama ya boy friend wake aliyekuwa nae baada ya kifo cha Joe! Aligundua dada ana hela nyingi ambazo alikuwa apeleke bank next day, boy friend akapata tamaa, akapanga na mlinzi wakwakata mapanga wakawaua! Wakachukua pesa! Ila boyfriend akamzika mlinzi pesa! Mlinzi akatoa siri! Wote wamekamatwa

Zaidi soma hapa
Dar Es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Shadrack Kapanga (34) kwa tuhuma za mauaji ya mama na watoto wake wawili eneo la Masaki mtaa wa Maryknol.

Kapanga ambaye ni msaidizi wa kazi za ndani alikamatwa jana Ijumaa Juni 11, 2021 eneo la Magomeni akiwa kwenye harakati za kutoroka baada ya kuwaua Emilly Mutaboyerwa ambaye ni mama na Damita (13) na Daniela Mutaboyerwa (15).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 12, 2021 na Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, mtuhumiwa huyo alikamatwa akiwa na baadhi ya vitu alivyoviiba baada ya kufanya tukio hilo.

“Vitu alivyokutwa navyo wakati akitoroka ni simu za marehemu, televisheni, king’amuzi cha DSTV na rimoti,” inaeleza sehemu ya taarifa hiyo.

Muliro ameeleza kuwa upelelezi wa awali umebaini kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo la mauaji Juni 9, 2021 baada ya kuwapiga kila mmoja kwa wakati tofauti kwa kitu kizito na kuwasababishia kuvuja damu nyingi na kupoteza maisha.

“ Baada ya kuwaua aliwafungia ndani na kutoroka. Upelelezi wa shauri hili unaendelea ili kujua sababu za msingi za mauaji hayo na mara utakapokamilika mhusika/wahusika watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo,” inaeleza.

Soma pia

1). Mfanyakazi wa ndani akamatwa akituhumiwa kumuua mama, wanaye wawili

View attachment 1816190
Huyo kijana jinga kabisa ,ngja abinywe pumb kwamza

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom