Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Hakika kabisa yaan, haki itendeke pasipo kuumiza wasio na hatia.
 
Said yuko nje mama yake ndio kamtoa,karudia kazi yke ya utapeli ila damu ya yule mama itammaliza muda ni ukuta
 
Wanawake wanachukulia vitu kiurahis... ndio maana waarabu hata wahindi hawawaachi wanawake wafanye maamuzi.. mume akifa kama kuna mahela mwanamke hapewi hizo hela.. ila anapewa huduma zote na ukoo wa mume.. mpaka atakapoolewa tena
Hao wanaomlea wanapata wapi uchungu wa kumhudumia huyo mjane wa watu, imani za kizamani
 
Mmh comment yako inafikirisha sana, maana ndugu wa kiafrika nao huwa na mengi nyuma ya pazia
 
Mume kafariki akamuachia pesa nyingi maana alikuwaga ana contract na Airtel ya kusupply mafuta kwenye minara na deals nzito kibao, yeye akaona atafute kibenten wa kumsugia haya ndio madhara yake.
Loh Bora angenipata hata mie mzee mwenzake! Hawa watoto wa 30's ni tatizo! Hawapendi kazi, wanawaza ukitonga tu! Rip Mrembo Mola awahifadhi
 
Ni tatizo la wanawake Aged kupenda vijana kitu hawaelewi vijana wanatumia makalio kufikiri huyo mrembo angekuwa anatoka na mtu mzima mwenzie mwenye familia yasinge mkuta
Ni kweli kabisa ndg! Ndio hivyo Tena kazi ya Mola!
 
Wanasema Mume Mauti yalimkuta South Africa, kwenye bar ya club vya usiku!!
Duniani hapa kila mtu anavuna alichopanda. Ukiona kitu kama hiki kinatokea ujue kabisa ni majibu ya matendo yako. Huruma ziende kwa watoto na Mungu aweke roho zao mahali panapostahiri.
 
Umeongea kweli tupu mkuu, pia mapungufu makubwa ni kupeleka hawara yake nyumbani kwake. Na hicho ndio kimesababisha hata watoto wasio na hatia kuuliwa kinyama.
 
Kumbuka wenye pesa wengi huwa hawataki misongano ya ndugu kwenye majumba yao. Kama ni msaada unatumiwa huko huko uliko, kwa hyo isikupe shida kukaa na wanae tu na kijana wa kazi wa kiume.
 
Umalaya haufai kabisa
 
Wanawake tumekuwa na shida kubwa, kuendekeza nye ge, mume akifa tu hujatulia tayari ushasogeza, ukiachika ndo hivyo hivyo,

Yawezekana mke alishirikiana na huyo benten akamwondoa mume or whatever the case ila ndo yamerudi.

Huruma kwa hao mabinti sijui ndo walifunga tu shule maskini na kuja kupata balaa kubwa hilo.

Hao wauwaji walaaniwe milele.
 
Maneno mazito Sana haya khaaaa
 

Wala haihitaji hata kuumiza akili katika hili....Huo ulioandikwa na jeshi la polisi ni uongo mtupu, mazingira ya vifo vya watu watatu kwa wakati mmoja yamerahisishwa sana. Huyo house boy abanwe tu vizuri awaseme wauaji. Na kama wauaji wanajulikana basi wasizunguke zunguke kisa pesa, pesa ni nini mbele ya roho ya mtu???
 
nadhani remote na tv+kingamuzi alichukua mlinzi ili na yy akafurahie maisha.

Taarifa inadai huyo msaidizi wa marehemu ndo kahusika na hivyo vifo na baadaye kukamatwa akiwa na TV, king’amuzi cha DSTV na remote, hii inakuingia akilini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…