Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Taarifa inadai huyo msaidizi wa marehemu ndo kahusika na hivyo vifo na baadaye kukamatwa akiwa na TV, king’amuzi cha DSTV na remote, hii inakuingia akilini???
taaarifa yenyewe imekuja ikiwa imetokea bar,ata mshana jr anajua , ndio maana tunakorogana kujua ukwel ...
 
mku umalaya unaingiaje kwenye mauaji ya familia yote, mama na watoto?
Atazinije na house boy?? na inavyoonyesha walianza kitambo, by the way, kwani mume hasa wa huyo mama alikufa kifo gani?
 
Ni haki yake kuwa kwenye mahusiano,siyo mbaya mbona
Lazima awe na mtu wa kumtoa upweke
Sema inategemeana atakuwa na mtu wa aina gani
Mm binafsi kuwa na mwanamke age iliyozidi 40
Poa tu

Ova
 
Atazinije na house boy?? na inavyoonyesha walianza kitambo, by the way, kwani mume hasa wa huyo mama alikufa kifo gani?
inaonekana unajua kitu, nenda basi polisi ukasaidie haki kutendeka.
kumbuka kujua sababu ya mauaji ni muhimu sana kwa sababu inasaidia jamii iliyo baki kuishi kwa tahadhari.
 
Mimi masuala ya kusuguana lisaa au 30min( i mean unapump tuuuuu [emoji57][emoji19] sitaki...huna technques bas uniache..khaa..kuchoshana mm sitak kbs...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]!
 
Mimi masuala ya kusuguana lisaa au 30min( i mean unapump tuuuuu [emoji57][emoji19] sitaki...huna technques bas uniache..khaa..kuchoshana mm sitak kbs...
Hizo 'rough' saazingine huchezwa kutokana na kinyongo cha mwanaume kunyanyasika kwa njia alizotumia kupata.

Mfano wakati akitongoza, ashadhalilishwa sana kwa matusi ya wangu wangu na maneno ya kejeli hadi akajidharau.

Kufanikiwa hadi akatumia washenga ama makuwadi na kupewa sharti la 'pesa ndefu'.

Sharti kalitimiza kapata, tena huenda kwa masharti mengine ya...'baada ya hapa tusijuane'... hapo kuna kushuka haraka kweli!

Kwenye 'kumalizia mode' kuna wanaume huwa wanalia kabisa, usidhani kwa kupagawa, bali kwa kukumbuka manyanyaso na masharti kibao aliyopewa hadi kupelekea kulifanikisha tendo analolifanya muda huo.
 
Nimejaribu kufatilia kidogo issue kusikia baadhi ya majirani especially walinzi wa majumba huko
Inaonekana huyo mama alikuwa hana time wala mawasiliano na watu huko,akitoka akirudi yeye kama yeye!!

Life style hizo siku zote siyoooo kabisa

Ova
Sasa Masaki unaishi vipi na majirani? Nyumba yako mbele wachina, kushoto muitaliano kulia mhindi. Sio kama kwenu Kimara Mwisho mtaa mzima mko kwenye group la WhatsApp mtu akivamiwa na wezi mnajadili wiki nzima
 
Hahahhahahaa nimecheka sana jamani
 
Asante mshana. Umenipa kamwanga kidoogo kuhusu hili jambo. Nimesoma magazeti mengi lakini sijapata kitu
 
Sasa Masaki unaishi vipi na majirani? Nyumba yako mbele wachina, kushoto muitaliano kulia mhindi. Sio kama kwenu Kimara Mwisho mtaa mzima mko kwenye group la WhatsApp mtu akivamiwa na wezi mnajadili wiki nzima

[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti afu mbele za watu khaaah.
 
Kwenye paragraph ya mwisho sasa naamini ni kweli, maan kuna watu km wawili wameshawahi nambia, sikua naamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…