[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee dea lol.Haahaahaahaa...nilikuwa na staili hiyo ya maisha ila nowdays nimeacha nadhani utoto ulikuwa unanisumbua
Bonge la mkausho mpaka majirani wananiteta kuwa naringa sana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Daah baada ya kuyajua maisha nasalimia kila mtu hata ukinyamaza nakulazimisha[emoji16][emoji1787][emoji1787]
NB
Pesa sina ila kiburi tu[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kheeeeh huyo mgiriki hakuwa timamu kiakili? Mtoto bellow six unarushaje risasi khaaaaahNyie hampajui masaki nyie. Mie nilikaa huko wakati nafanya kazi serikali kuu. Watoto wangu walikuwa wanacheza mpira ukaingia kwa jirani mgiriki mmoja Mafia. Dogo aliruka ukuta aufuate wakati amepanda juu nilisikia mlio wa risasi imepigwa juu. Na mtoto alikuwa below six.
Bahati ile risasi ilimkosa
Kwahiyo unataka kumaanisha nn?Mbona nguvu kubwa mnataka itumike bana. Raslimali za Taifa letu.
Mbona Kuna mauaji yanatokea huko kwingineko na sijawahi ona hii nguvu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlikua mna visa nyie sio bure khaaaah.Watoto akili zao wanazijua wenyewe. Ila jamaa nilimshitaki na baadae alileta mbwa wakubwa kama ndama na kufunga kamera kuelekea kwangu.
Hata sijui dada labda wewe iwe Kama ulivyoelewa mwenyewe.mana others see big picture other see details , someone thinks laterally while me I think linear and so on na bado maisha yanaenda kwa jinsi ya tofauti yetu zetu zilizopoKwahiyo unataka kumaanisha nn?
mkuu Mimi. msiba umefanyikia wapi? na kuna habari gani mpya aisee hii kesi ifuatiliwe
Nae anarukaje ukuta kufata mpira ?si agonge tu geti aombe mpira huo?
Kwa hiyo justification yako Hii case hisifatiliwe kwa Kua Kuna watu wanakufa kwingineko?!Mbona nguvu kubwa mnataka itumike bana. Raslimali za Taifa letu.
Mbona Kuna mauaji yanatokea huko kwingineko na sijawahi ona hii nguvu
Hela atakula vp huyo boyfriend kama alishindwa kuwa m'bunifuInasikitisha, wapumzike kwa amani....
Sasa boyfriend kashindwa kula hela za bibie kupitia mapenzi? Mbona ni rahisi kuliko hiyo njia ya kutumia manguvu/mauaji
Mkuu umedadavua vizuri tuendelee kukaza humu humu mpk habari ifike juu na haki itendeke.Damu ya mtu ni nzito tuwaombee haki itendeke.hiko wapi hiyo nguvu kubwa ya kijeshi iliotumika?embu tupe taarifa Mpya ya jeshi la police ukiacha hile waliotoa Mwanzo ya kujikanyaga kanyaga kama umeona kuna resources nyingi zinatumika
Sasa jirani yao si anajulikana mkorofiWatoto si unawajua tena simlaumu mdau, Kia kitu wanachukulia poa
Wewe umesema kuwa mpaka undercover ya jeshini itumike jamani,yaani Tiss na police wote.hiko wapi hiyo nguvu kubwa ya kijeshi iliotumika?embu tupe taarifa Mpya ya jeshi la police ukiacha hile waliotoa Mwanzo ya kujikanyaga kanyaga kama umeona kuna resources nyingi zinatumika
Wewe umesema kuwa mpaka undercover ya jeshini itumike jamani,yaani Tiss na police wote.
Unatakiwa ujue distinction ya kazi ya hayo majeshi ndugu.
Yaani wewe unajua undercover wa military kazi Yao Nini ama rejea pale nilipo quote ulichoandika ama umeshasahau ndo Mana unaniuliza Tena kuwa nguvu kubwa iko wapi.
Nimekuambia hii ishu ndogo police ikajitosheleza jamani.
Na sio kusema kitu ambacho hujui kina matumizi gani.
Hebu tafuta captain ama major hapo jirani yako umuulizie undercover wa jeshini Wana kazi gani.
Mfano mdogo Kuna kichaa alikuwaga pale railway muda ule 1978/79 tunapigana na idd ,huyo ni kichaa afu ni bubu yaani kula Sana jalalani,alikuwa na makopo yake ya kutosha.
So treni ikiondoka kuja bara ama huku lake zone anakuwa anaona ni Nini kinasafarishwa.
Kuna dereva wa fuso alikuja kumtoa bana alilia Sasa kumbe ilikuwaga ni redio call pia alikuwa mjeda wa uganda.
Pia Kuna mjeda anaweza akawa ndani yetu kumbe ni pandikizi tokea Malawi ama Kenya ivi so anavujisha Siri kule na pia anaweza akajifanya Tena anauzia Tanzania Siri.
Yani anakuwa two sword edged spear.
Undercover bana mpaka nashindwa kumuelezea vizuri.
Nimeumia huyo dada kukatishwa uhai na hao watt bado ni wadogo Tena innocent gorgeous babies.
Ila kifo Chao kutafutwa chanjo sio kuwa jeshi litumike.
Resources za ku train Soulja ziko juu Mana nahitaji yake ni makubwa anapambana na maadui wa nje Ila police anapambana na maadui wa ndani.
Ni Kama paka na mbwa.paka anaua panya mende ndani ya nyumba Ila mbwa atapambana na fisi akivamia zizini kula mbuzi dada.
So huwezi kumleta mbwa aue panya.
I have tired to write na case closed for me to replay you.
Shida ya billioni Mia wewe unaomba msaada wa trillion kumi.
Mkuu sasa unakosoa spelling za wenzio at the same time unafanya kosa hilo Hilo “ Sio jaziba ni Jazba”Maandishi yanayoandikwa hapa yamejaa makosa ya kisarufi,jaziba na majigambo.Hisia hisia na hearsay za kutosha.
Jamaa tu lilikuwa katili lilikuja kuajiri walinzi wa kampuni wala haliwaongeleshi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlikua mna visa nyie sio bure khaaaah.
Huko insta wamejaa wanasema mama alikuwa anamfokea mlinzi,
Mlinzi akalipa kisasi akaua familia nzima