Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Hata wewe bado haujaeleweka, hii family inaonekana ni famous kwa baadhi ya watu tu.

Huyo Joe ni nani?
Alikuwa na cheo gani?
Alikuwa anaishi wapi?
Tukio limetokea lini?
 
Pascally hukutupiapo kaneno kweli?

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Swali nje ya mada!flat's hpo unamkumbka mama nafisa

Ova
 
Inasikitisha sana,

FUNZO:
Wanawake wajane jieshimuni, jama unaona bado unaweza olewa, fanya hivyo na sio kutembea na wanaume hovyo hovyo.

Huyu mama amekufa na kusababisha wanae kufa kwa sababu ya uasherati wake. (Kwa lugha isiyoyakisanii)
Sasa ataolewa bila kupitia hatua ya mahusiano?
Unajuaje kama hawakupanga ndoa?

Maana hapo hawajasema alikua anatembea na wanaume hovyo hovyo bali huyo mwanaume alikua mpenzi wake, shida iko wapi?
 
Inasikitisha sana,

FUNZO:
Wanawake wajane jieshimuni, jama unaona bado unaweza olewa, fanya hivyo na sio kutembea na wanaume hovyo hovyo.

Huyu mama amekufa na kusababisha wanae kufa kwa sababu ya uasherati wake. (Kwa lugha isiyoyakisanii)
Kwa hiyo ni kosa lake kuuawa yeye na wanawe? Yeye ndio amesababisha haya?
Unajuaje kama alikuwa "anatembea na wanaume hovyo hovyo"?

Ni sawa na kusema mwanamke akiwa barabarani usiku akabakwa ni kosa lake.

Hizi ni hukumu zenye double standards.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…