Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

RIP Mama na watoto, hawa ma boyfriend nawo sijuwi wakoje siku hizi...
Kina mama tuwe makini basi sisi wanaume tukiaga maisha...

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kina mama hapa nilijua wewe jinsia ya kike

Sisi wanaume ....hapa ukanivuruga kabisa
 
Mbona story yako haingii akilini kabisa?House boy au boyfriend kumuua huyo dada kisa mali? labda uniambie kama walijua kuna kiasi cha pesa kiko ndani ya nyumba na walishindwa kukichukua kwani wao walikuwa kikwazo na bado njia hii mbona haiingii akilini kwanini wasingelikodi majambazi wakaiba hiyo pesa kama pesa ilikuwa ndani bila kuacha mianya wao kujulikana walikuwa bedhind.?

Kw mbinu hii ni wazi wahusika sio walio tajwa maana watajwa hawawezi kunufaika na hizo mali ambazo haziamishi na ziko kwenye maandishi ,labda ndugu wa mama au mume na kwenye hili ni ndugu wa mume wanaweza kuwa suspect no 2 kama sio n0 1 maana wao ndio wanaweza kumtuma yeyote kati ya watajwa kutekeleza mauaji maana wao ndio watakuwa wanufaika wa mali baada ya wahusika muhimu kutangulia mbele ya haki..

Hivi mahusiano ya huyu dada na ndugu wa mume na ndugu zake wa tumbo moja yalikuwa ya aina gani? ukitaka kujiuliza zaidi jaribu kufikiri kuhusu mtu kuamua kuishi na watoto wake tuu na mfanyakazi wa kiume na sio wakike..... huyu mtu hakuwa na watu wa karibu au ndugu hata mmoja wa kuishi nae au hata ndugu yake? kuna shida hapa hasa ukifikiria mazingira ya kitanzania.

Hivi vifo vinaweza kuwa na sababu nyingine kabisa kama house boy ni muhusika wa moja kwa moja lakini kama ametumwa basi si muhusika wa moja kwa moja na pesa itakuwa imechangia na wahusika wakuu hawawzi kuwa boyfriend na house boy,
 
1623562718884.jpeg

Hii ni KILL ME QUICK!
 
wanawake wanazidi kuteketezwa kwa kuuliwa, kila siku tunasikia wanawake, sababu kubwa au chanzo ni MAPENZI au mahusiano.
Ndugu zangu wakina mama na kina dada haswa mlio ktk mahusiano chukueni tahadhari, msilewa kwa mapenzi ukasahau uhai wako.
Mahusiano ya mapenzi ndio yanaongoza kwa mauaji na wahanga wa kuuliwa ni wanawake kwa kuendekeza mapenzi.
 
Mbona story yako haingii akilini kabisa?House boy au boyfriend kumuua huyo dada kisa mali? labda uniambie kama walijua kuna kiasi cha pesa kiko ndani ya nyumba na walishindwa kukichukua kwani wao walikuwa kikwazo na bado njia hii mbona haiingii akilini kwanini wasingelikodi majambazi wakaiba hiyo pesa kama pesa ilikuwa ndani bila kuacha mianya wao kujulikana walikuwa bedhind.?

Kw mbinu hii ni wazi wahusika sio walio tajwa maana watajwa hawawezi kunufaika na hizo mali ambazo haziamishi na ziko kwenye maandishi ,labda ndugu wa mama au mume na kwenye hili ni ndugu wa mume wanaweza kuwa suspect no 2 kama sio n0 1 maana wao ndio wanaweza kumtuma yeyote kati ya watajwa kutekeleza mauaji maana wao ndio watakuwa wanufaika wa mali baada ya wahusika muhimu kutangulia mbele ya haki..

Hivi mahusiano ya huyu dada na ndugu wa mume na ndugu zake wa tumbo moja yalikuwa ya aina gani? ukitaka kujiuliza zaidi jaribu kufikiri kuhusu mtu kuamua kuishi na watoto wake tuu na mfanyakazi wa kiume na sio wakike..... huyu mtu hakuwa na watu wa karibu au ndugu hata mmoja wa kuishi nae au hata ndugu yake? kuna shida hapa hasa ukifikiria mazingira ya kitanzania.

Hivi vifo vinaweza kuwa na sababu nyingine kabisa kama house boy ni muhusika wa moja kwa moja lakini kama ametumwa basi si muhusika wa moja kwa moja na pesa itakuwa imechangia na wahusika wakuu hawawzi kuwa boyfriend na house boy,

Mama wa Emmy alieuliwa amejengewa nyumba kubwa mbezi beach Africana alijengewa na mwanae na marehemu mkwe wake , amejengewa na apartment eneo Hilo Hilo linampa hela ya kuishi kwa hivyo wana mahusiano mazuri na ndugu wa mke

mdogo wa mke mmoja kama akili zake hazipo sawa ndio anakaa na mama ake kwa Kua anaumwa ugonjwa wa kupooza muda mrefu mdogo mwingine alifunguliwa saloon na dada yake

uoande wa mume siwafahamu
 
Tatizo mamito, mtu akipata mademu humu JF anapandisha mabega na kujiona ni msomi wakati akiwa na 1 certificate ya ualimu; Diploma; bachelor ya makarai; anaiunga na Postgraduate halafu ndipo aweze kukubaliwa asome masters! Msomi huwa hajitangazi maana anajua kuwa yeye kila wakati anatafuta kuongeza elimu kwa kufanya utafiti. By the way huwezi kuwa researcher bila kufika kielimu
Uko sawa mkuu wangu, nimekuelewa sana tu, umeongea point tupu.

Halafu kumbe humu watu wapo na mademu wao kabisa?
 
Unajaribu kubisha nini? Au una information za ndani zaidi ya hizi hapa. Kama huna basi sioni mantiki ya kubisha. Kuna watu wameua kwa njia za kijinga kuliko huyu. Kusema tu mtu anayewea kurithi mali ndiye mwenye motive ya kuua sidhani ni sahihi. Dunia ya sasa mtu anakuua hata kwa shilingi milioni 2.

utakua Ni ndugu wa mume au muhusika sio kwa povu Hilo , kwani uchunguzi ukifanyika na akajulikana muhuaji shida hiko wapi
House boy anaweza Kuusika kufungulia mlango majambazi
 
Nakupenda jinsi unavyo fikiri,I wish wwe ndiyo ungekua Mpelelezi wa kesi hii,ungeibuwa Mambo mengi sana nyuma ya mauwaji,kuanzia kifo Cha Mume,hadi mauwaji ya mke na Watoto!!

Mume hakufia Tanzania , alidondoka South Africa akiwa mbali na familia
 
Unajaribu kubisha nini? Au una information za ndani zaidi ya hizi hapa. Kama huna basi sioni mantiki ya kubisha. Kuna watu wameua kwa njia za kijinga kuliko huyu. Kusema tu mtu anayewea kurithi mali ndiye mwenye motive ya kuua sidhani ni sahihi. Dunia ya sasa mtu anakuua hata kwa shilingi milioni 2.

utakua Ni ndugu wa mume au muhusika sio kwa povu Hilo , kwani uchunguzi ukifanyika na akajulikana muhuaji shida hiko wapi
House boy anaweza Kuusika kufungulia mlango majambazi
Mbona sijatoa povu? Niko easy tu. No hard feelings! Nakubaliana na nadharia yako ila ume-crush kabisa nadharia iliyoongelewa hapa ndiyo maana nikakukumbusha kuwa hata huyo house boy na boy friend wanaweza kuhusika. Ulitakiwa kuongezea tu kuwa pia wapanue wigo wa uchunguzi uangalie nadharia uliyo-suggest na siyo kukataa kabisa kinachoelezewa hapa eti kwa sababu hawawezi kurithi mali ya marehemu.
 
Nimeskia hayo madildo utamu wake hauna mfano, halafu hayatuchafui ndo mana tunayataka 😋
Mh. Hata wewe mkuu? 🤣 🤣. Hakuna kitu kitakachoweza ku-compansate ule mtarimbo hata kidogo. Pia ukumbuke kuna kuongeleshana, kupashikana na kila aina ya mazaga. Vivyo hivyo kwa upande wa pili. Hakuna replacement ya mwanamke.
 
Ingekuwa hivo yesingeuzwa maana wateja wesingekuwepo, sisi ndo wateja wenyewe hatutaki kutumia njia za kuzuia mimba maana zinatuchosha
 
Inasikitisha sana.
Sema mazingira ya mauaji yanaleta ukakasi, ingekuwa kwamba wametiliwa sumu na msaidizi wao kusingekuwa na maswali mengi. Sasa hii ya kuwaua wote watatu kwa kuwapiga kwa nyakati tofauti na baadaye kukamatwa na vitu kama king’amuzi, simu na remote, kweli!!!!!!
Ukweli anaujua msaidizi na wauaji anawafahamu pia.
 
Wazee hawasugui vizuri
Huyo mama yupo kwenye age ambayo ana enjoy sana sex kasi ambayo mzee haiwezi ni vijana tu wanamuwezea trust me on that
Wanaume wa Bongo tunakosea wapi? Tunadhani sex ya kumridhisha mwanamke ni ujuzi wa kusugua na pherhaps kusugua kwa muda mrefu! 🤣. Mazee bila shaka wewe ni mchanga sana kiumri ndiyo maana. Kwenye hayo mambo kuna zaidi ya kusugua. Trust me, kua uyaone! Kumbe ndiyo maana vumbi wa Kongo lina soko sana mkidhani kusugua ndiyo mambo yote! Ukikua utaacha bila shaka.
 
Ingekuwa hivo yesingeuzwa maana wateja wesingekuwepo, sisi ndo wateja wenyewe hatutaki kutumia njia za kuzuia mimba maana zinatuchosha
Yana soko sikatai lakini haya-compansate ile shughuli. Yanatumika kama paracetamol! Yanatumika kutuliza maumivu tu lakini siyo kwa tiba. Hata wadada waliyonayo nyumbani huyatumia kutuliza maumivu tu wakati wanatafuta tiba!
 
Back
Top Bottom