mtanganyika wa kweli
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 2,420
- 1,721
Steve Nyerere utapata laana ya kula rambi rambi...umefanya hivyo kwa kanumba now kwa masogange,laana lazima ikuandame.Ndugu wa marehemu masogange wanasema hadi dikika hii hawajapata hata mia ya pesa za rambirambi zilizochangwa na wasanii wa Bongo muvi na Bongo fleva,licha ya kuwepo kwa uhakika wa kwamba pesa hizo zilichangwa.
Soma zaidi hapa .....View attachment 770073
Yale yale ya Kanumba.....hivi mwenyekiti wa hii si alikuwa Steve Nyerere...
Kweli mkuu Maccm yakishiriki msiba lazima yaibe rambirambiNa CCM pia iangaliwe hapo, maana walihusika kubeba jeneza lake kule mbeya
Upande wa pili upi huo?! Uvccm au wasanii wenzakeBusara ni kusikiliza upande wa pili kabla ya kuwahukumu, kutuhumiwa anaweza kutuhumiwa yyte na kwa chochote ila inauma kuhüku
miwa bila ya kosa.
Hii ni kashfa nyingine kwa uvccmHii tabia ya kula rambi rambi sijui itaisha lini, hebu tujikumbusheni kidogo;
1.Rambi rambi za Kanumba
2.Rambi rambi za Mafisango
3.Rambirambi maafa ya kagera
4.Rambirambi za wale watoto wa shule Arusha
Now rambirambi za Agnes pia [emoji24][emoji24][emoji24]
Waasisi serikali ilivyo divert matumizi ya wahanga wa tetemeko na michango ya Lucky Vicent sagaMmh upigaji unazidiana...ila upigaji wa rambirambi ni kujipaka mikosi
Maafa ya kagera uwazi ulikuwepo, uanishwaji wa matumizi ulikuwepo, je, ulifanya nini Baba Jesca alipoamua kucheza rafu?Kwanini hakukuwa na uwazi ktk kujua jumla ya rambirambi na majina na kiasi kilichotolewa ?
Je matumizi yameanishwa?
Je Kwenye hiyo kamati kulikuwa na ndugu Walau Wawili watatu wa Karibu wa Marehemu ?
Je taarifa ya makusanyo ya rambirambi na matumizi Yake yamewasilishwa Kwa familia ?