MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Sasa hivi kapo kimbele front kwenye maradhi ya King Majuto,usikute kanavizia msiba dadeki.
kabisa.Nilipoona tu watu flani wameuhodhi ule msiba, nikajua tu siku si nyingi tutapata habari ya namna hii
HahaahKajamaa kapo sharp balaa.
Kafiri mnyonge haki yake mpeni Yule RC hawezi kufanya huo upuuziSteve Nyerere hakosekani hapo na yule RC aliyejitapa kugharamia yaani mtu anatoa 100 halafu anaiba 1000
Uliona Mbali.Nilisema kabla hatimaye yametimia
Jasiri haachi asiliSteve nyerere again
"Kwa msiba wa Kanumba, watu wanunua Magari baada ya msiba!" Ney wa MitegoNilishangaa kumwona Steven Nyerere kwenye kamati,nikakumbuka jinsi walivyopiga rambirambi za msiba wa Kanumba.
NdiomanaharefukiKale kaliaji kale ka stevee
Steve anaishi kwa ukuwadi na ana subiría misiba apige Hela za wasaniiii waliyovutaSteve Nyerere akiwepo kwenye hayo mambo lazima apige pesa....Kuna watu walishauri Mapema kabisa baada ya kumuona stive nyerere Lidaz klabu.
Usinitie wazimu wewe.
Nifute inbobo chap please
nimecheka sanaSteve Nyerere nilimuona akiwa busy na mzee Majuto hospitali. Usikute maombi na sala zake kwa mzee wetu ni tofauti kabisaa na sisi tunavyoomba na kusali.