Kwa hii style sioni unafuu wa case ya Musiba hata baada Membe kufariki!Familia ya marehemu Bernard Membe kupitia mwana familia anayeitwa Steven Membe wamemkana aliyejitambulisha kama daktari wa familia ya Membe alafu akaanza kuwatoa hofu wananchi kwa kuelezea namna marehemu Membe alivyofariki kwa kifo cha kawaida tu cha kubanwa na kifua hivyo wasiwe na wasiwasi!
Steven Membe amesema kama familia hawamjui huyo daktari na hawakumpa ruhusu kusema hayo aliyokuwa anayasema mbele ya watanzania.
Familia ya marehemu Membe wamempa siku saba daktari huyo kuomba radhi au wamburuze mahakamani.
Kwani waLikuwa 2?Uliwahi kuona wapi taarifa ya Kifo inatolewa na Madaktari wawili
Hiyo pekee huwavuruga wafiwa!
Kuna vitu vizuriKuna nini hapo
Yani walikuwa kama wahaha kuzima jambo fulaniUliwahi kuona wapi taarifa ya Kifo inatolewa na Madaktari wawili
Hiyo pekee huwavuruga wafiwa!
Kwanza kiutaratibu dajtari hawezi kueleza maradhi ya mgonjwa au marehemu bila idhini ya mgonjwa mwenyewe (kama yupo hai na ana ufahamu) au familia (kama mgonjwa hana ufahamu au mgonjwa amefariki).Kesi ile haijaisha wanataka nyingine tu.
Mbona hawajamtaja huyo Dr au yule professa wa JKCI?Familia ya marehemu Bernard Membe kupitia mwana familia anayeitwa Steven Membe wamemkana aliyejitambulisha kama daktari wa familia ya Membe alafu akaanza kuwatoa hofu wananchi kwa kuelezea namna marehemu Membe alivyofariki kwa kifo cha kawaida tu cha kubanwa na kifua hivyo wasiwe na wasiwasi!
Steven Membe amesema kama familia hawamjui huyo daktari na hawakumpa ruhusu kusema hayo aliyokuwa anayasema mbele ya watanzania.
Familia ya marehemu Membe wamempa siku saba daktari huyo kuomba radhi au wamburuze mahakamani.
Mkuu hujawahi kuona mtu anajifanya ni Daktari na anakua Hospitali?Hivi mtu anawezaje kutokea tu na kusema yeye ni daktari wa mtu fulani
kuna watu wanaenda kufa so soonFamilia ya marehemu Bernard Membe kupitia mwana familia anayeitwa Steven Membe wamemkana aliyejitambulisha kama daktari wa familia ya Membe alafu akaanza kuwatoa hofu wananchi kwa kuelezea namna marehemu Membe alivyofariki kwa kifo cha kawaida tu cha kubanwa na kifua hivyo wasiwe na wasiwasi!
Steven Membe amesema kama familia hawamjui huyo daktari na hawakumpa ruhusu kusema hayo aliyokuwa anayasema mbele ya watanzania.
Familia ya marehemu Membe wamempa siku saba daktari huyo kuomba radhi au wamburuze mahakamani.
Mh! FafanuaJM atamaliza watu huko CCM
Wakili wa Membe alisema deni liko pale pale yule jamaa wa mwibara lazima alipe....nachohofia akirudi tena mwibara anatungua mwingine anayeona amamkalia kooni😒😒😒😒Kwa hii style sioni unafuu wa case ya Musiba hata baada Membe kufariki!