Familia ya Membe yamkana aliyejiita daktari wake, yaapa kumpeleka mahakamani

Familia ya Membe yamkana aliyejiita daktari wake, yaapa kumpeleka mahakamani

Hapo wamepata majibu sahihi ya kifo cha baba yao, wamepanda hasira kwanini alisema uongo inaonekana nayeye alikua miongoni.

Yule kwanza ni kujua , kweli ni Daktare bingwa ? KWELI alikuwa dr wa membe ??


Allilenga nini Kukimbilia kuongea na waandishi kuwatuliza wananchi kuwahakikishia ni Kifo cha Kawaida ? Je alitumwa hata kama ni na kikao cha Marafiki na Ndugu dar au hata mkewe?
 
Familia ya marehemu Bernard Membe kupitia mwana familia anayeitwa Steven Membe wamemkana aliyejitambulisha kama daktari wa familia ya Membe alafu akaanza kuwatoa hofu wananchi kwa kuelezea namna marehemu Membe alivyofariki kwa kifo cha kawaida tu cha kubanwa na kifua hivyo wasiwe na wasiwasi!

Steven Membe amesema kama familia hawamjui huyo daktari na hawakumpa ruhusu kusema hayo aliyokuwa anayasema mbele ya watanzania.

Familia ya marehemu Membe wamempa siku saba daktari huyo kuomba radhi au wamburuze mahakamani.

Msiba wa kiafrika haukosi maneno
 
Familia inasema hawamjui ,Je kwahiyo daktari ni mmoja wa wasiojulikana🤔.....
Je aliyefariki naye anauhusiano wowote na wasiojulikana?

Bwana ametoa,Bwana ametwaa
 
Back
Top Bottom