Familia ya Membe yamkana aliyejiita daktari wake, yaapa kumpeleka mahakamani

Familia ya Membe yamkana aliyejiita daktari wake, yaapa kumpeleka mahakamani

Kama walioachwa nao wana hulka hii basi watamdindia Musiba hadi kesho.

BTW:Mzee wa rika lile kujitokeza hadharani kuomba radhi kwa kiherehere chako ni fedheha sana.
 
Chief kuwa daktari ni daktari kweli
  • MD(2005) - Lugansk State Medical University(lsmu)
  • MMed(Internal Medicine)(2008) - Lugansk State Medical University(lsmu)
  • MSc(Cardiology)(2011) - Lugansk State Medical University
 
Hawa madaktari wetu wanakuwa hawajui miiko ya utabibu kuhusu faragha ya mgonjwa?
Hivi mbombezi hakuwa asset yetu wananchi kweli mpaka wananchi, Tena tumetuma jeshi letu libebe mwili wake na kwa ndege kweli huyo hakuwa asset yetu kweli? Kweli hatukupaswa kupata taarifa ya kilochomsibu kweli? (Nawaza)
===
Mimi si mtaalamu wa mambo haya wanao yaelewa haya mambo watatufafanulia. Au unaonaje mtaalamu wa code za computing security?
 
Suala la faragha lina override hapo. Pia huyo alishastaafu vyeo rasmi vya umma kwa hivyo hata ukitaka kutumia karata ya utumishi wa umma aliivuka.

Kwenye masuala ya faragha za mgonjwa Tanzania tuko nyuma sana.

Jamie Foxx anaumwa miezi sasa, tunaambiwa tu ana "medical emergency".

Watu wanajua faragha ya mgonjwa ni nini.
 
Yule jamaa sio Dr wa mchezo mchezo nasikia kasoma Havard wakimfungia bongo anaruka zake Marekani akale Bata, inasemekana JK ndio alimleta bongo kutoka US alipokuwa anafanya kazi.
Acha masikhara mkuu nyagori huyu huyu kasomea havard?naona unautani na hiko chuo wewe😂😂.
 
Insemakana baadhi ya vyeo hurusiwi kustaafu yawezekana daktari mtuhumiwa alitumia uchochoro huo.

Mkuu, Mbona Michael Jackson hatukufichwa faragha ya ugonjwa wake? Au huko kuna ubaguzi bado?
Wewe kutofichwa faragha ya ugonjwa wa Michael Jackson haina maana kwamba Michael Jackson hana faragha hiyo.

Kama vile wewe kuibiwa mali zako haina maana kwamba wewe huna haki ya kutoibiwa.

Ukishaanza habari na "inasemekana" maana yake hata wewe mwenyewe huiamini vya kutosha habari hiyo.

Zaidi, hata kama mtu hajastaafu, hiyo si sababu ya kutosha ya kumvunjia faragha yake ya ugonjwa, ni vile Tanzania watu hawajali haya mambo tu.

Soma zaidi sheria husika hapa
 
Ben alipigwa sumu na nani? Si ni natural death? Aisee mbona story za vijiweni?
Kuna vifo vingi ambavyo vimetokea na vinaonekana kuwa ni vya kawaida lakini ukichunguza kwa undani sana unagundua kwamba kumbe siyo. Sina uhakika kuhusiana na ukawaida wa kifi cha Samwel Sitta na Masogange, sina hakika kabisa, wale ambao wanafahamu vizuri kuhusu hilo naomba watujuze kwa sababu minong'ono ni mingi. Watujuze ili kzima minong'ono iliyopo
 
AISEH Bas sawa!!

lakini mahojiano haya yanataka kuhalalisha nini!?

YAANI WANATAKA kufanya NINI hasa na hiki kifo!!?

kuna fukuta huko NDANI!ngoja tuone matokeo!!
Labda report ya Wazee imetoka! Na Je hiyo report ya Wazee inaweza tumika Kama ushahidi Mahakamani kuhusu kifo cha Kachero Mbobezi!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwenyewe najiuliza ilikuwa Magufuli gafla gafla ati kafa tukaambiwa ni moyo kale ka mifupa eti ni corona
Tukaona basi sawa tukazika wala hatukuhoji maana dah oh kafia mzena oh moyo oh kafa trh 17 nyie tuwe wavumilivu.kufiwa kunaumiza poleni wafiwa.
 
Kuna vifo vingi ambavyo vimetokea na vinaonekana kuwa ni vya kawaida lakini ukichunguza kwa undani sana unagundua kwamba kumbe siyo. Sina uhakika kuhusiana na ukawaida wa kifi cha Samwel Sitta na Masogange, sina hakika kabisa, wale ambao wanafahamu vizuri kuhusu hilo naomba watujuze kwa sababu minong'ono ni mingi. Watujuze ili kzima minong'ono iliyopo
Masogange ni nani nchi hii? Yani umalaya na kuwa punda hiyo nayo ni CV!?
 
Back
Top Bottom