Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana".

Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya ubaguzi wa rangi ya kijana mweusi akipuuzwa na afisa ambaye alikuwa akigawa medali katika hafla iliyofanyika mjini Dublin mwaka jana.

Mama huyo alisema kuwa kutazama tukio.

0e4274f0-5f9b-11ee-a259-d91a2bfc0d8f.jpg

Hilo wakati huo ilikuwa "tisho".

Taasisi ya michezo ya viungo -Gymnastics Ireland iliomba msamaha "kwa hasira ambayo iliyosababishwa" na tukio hilo.

By BBC
 
Subiri wagalatia waje wakupe sifa nzuri za wazungu
Kila kitu ukikibeba kwa mgongo na mtazamo wa kidini unakuwa huna tofauti na maiti isiyojitambua,maana kila mtu ni maiti tarajiwa tofauti wewe umekufa ukiwa unapumua.

Unadhani wewe kuna anaekupenda zaidi ya mama yako aliyekuzaa na wanao?huyo mkeo unaelala nae usiku huu kesho anaweza akakubagua akakuona kenge tu,awe mwarabu,mchina,mpakistan muhindi au mzungu stil kwake wewe ni nyani tu as long as una jigozi jeusi kama mkaa.pigania umoja wako wewe na weusi wenzako hao weupe wanakuona cake kwa sababu wewe ni asset kwao,kwanza ukishakosa akili ni asset mojawapo kwa weupe situation tunayoipitia leo hapa Tanzania.
 
Kila kitu ukikibeba kwa mgongo na mtazamo wa kidini unakuwa huna tofauti na maiti isiyojitambua,maana kila mtu ni maiti tofauti wewe umekufa ukiwa unapumua.

Haya maneno waambie wagalatia wenzio wanaoona mzungu ndio kila kitu na mwarabu ndie mbaguzi
 
Kila kitu ukikibeba kwa mgongo na mtazamo wa kidini unakuwa huna tofauti na maiti isiyojitambua,maana kila mtu ni maiti tofauti wewe umekufa ukiwa unapumua.

Unadhani wewe kuna anaekupenda zaidi ya mama yako aliyekuzaa na wanao?huyo mkeo unaelala nae usiku huu kesho anaweza akakubagua akakuona kenge tu,awe mwarabu,mchina,mpakistan muhindi au mzungu stil kwake wewe ni nyani tu as long as una jigozi jeusi kama mkaa.pigania umoja wako wewe na weusi wenzako hao weupe wanakuona cake kwa sababu wewe ni asset kwao,kwanza ukishakosa akili ni asset mojawapo kwa weupe situation tunayoipitia leo hapa Tanzania.
Soma post #18
 
Back
Top Bottom