Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

Soma post #18
Wewe ndiye uliyeanza kujitia wazimu post #7 huyo mwenzako yeye ameunga trailer tu ulipoishia yaani mmekutana wote pipa na mfuniko.

Hao wapumbavu hata wakitukanwa wewe Mndengereko upo hapo Kilwa Masoko inakuhusu nini mbona unaumia?mimi mweusi mwenzako nikikuletea ubaguzi wowote ndiyo ulalamike hao ngozi nyeupe wewe kwao ni kituko tu take it from me!
 
Kila kitu ukikibeba kwa mgongo na mtazamo wa kidini unakuwa huna tofauti na maiti isiyojitambua,maana kila mtu ni maiti tofauti wewe umekufa ukiwa unapumua.

Unadhani wewe kuna anaekupenda zaidi ya mama yako aliyekuzaa na wanao?huyo mkeo unaelala nae usiku huu kesho anaweza akakubagua akakuona kenge tu,awe mwarabu,mchina,mpakistan muhindi au mzungu stil kwake wewe ni nyani tu as long as una jigozi jeusi kama mkaa.pigania umoja wako wewe na weusi wenzako hao weupe wanakuona cake kwa sababu wewe ni asset kwao,kwanza ukishakosa akili ni asset mojawapo kwa weupe situation tunayoipitia leo hapa Tanzania.
Ukweli ni kuwa Tunaweza kuwa wamoja katika kuona maovu mengi ya hawa kenge weupe dhidi yetu, Ila likishakuja swala la Ukristo na Uislamu ninyi watu wa dini mnageuka walevi na vipofu kabisa juu yao.
Mko radhi kuuza Umma kwa gharama ya Imani yako, NINYI NI TATIZO KUBWA PIA.
 
Haya maneno waambie wagalatia wenzio wanaoona mzungu ndio kila kitu na mwarabu ndie mbaguzi
Wote ni kenge tu. Na hata sisi ni wabaguzi na inapaswa kuwa hivyo, maana milele hakuna kinachoweza kubadilika.
Upumbavu ni kuishi na adui kama rafiki, ni ujinga, sio muarabu wala mzungu.
 
Ukweli ni kuwa Tunaweza kuwa wamoja katika kuona maovu mengi ya hawa kenge weupe dhidi yetu, Ila likishakuja swala la Ukristo na Uislamu ninyi watu wa dini mnageuka walevi na vipofu kabisa juu yao.
Mko radhi kuuza Umma kwa gharama ya Imani yako, NINYI NI TATIZO KUBWA PIA.
ni washenzi
 
Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana".

Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya ubaguzi wa rangi ya kijana mweusi akipuuzwa na afisa ambaye alikuwa akigawa medali katika hafla iliyofanyika mjini Dublin mwaka jana.

Mama huyo alisema kuwa kutazama tukio.

View attachment 2769782
Hilo wakati huo ilikuwa "tisho".

Taasisi ya michezo ya viungo -Gymnastics Ireland iliomba msamaha "kwa hasira ambayo iliyosababishwa" na tukio hilo.By BBC
Tuendelee kubaguliwa hadi akili ziturudi kichwani
 
Kila kitu ukikibeba kwa mgongo na mtazamo wa kidini unakuwa huna tofauti na maiti isiyojitambua,maana kila mtu ni maiti tofauti wewe umekufa ukiwa unapumua.

Unadhani wewe kuna anaekupenda zaidi ya mama yako aliyekuzaa na wanao?huyo mkeo unaelala nae usiku huu kesho anaweza akakubagua akakuona kenge tu,awe mwarabu,mchina,mpakistan muhindi au mzungu stil kwake wewe ni nyani tu as long as una jigozi jeusi kama mkaa.pigania umoja wako wewe na weusi wenzako hao weupe wanakuona cake kwa sababu wewe ni asset kwao,kwanza ukishakosa akili ni asset mojawapo kwa weupe situation tunayoipitia leo hapa Tanzania.
Mgalatia naona povu limekutoka mpaka umesahau kua hawa wazungu hua mnawaona kama miungu watu,usijisahau sana,comment zako nyingi hua zimekaa kiudini halafu hapa unajaribu kujifanya mtakatifu.
 
kama hauna maana si warudi kwao kwenye Pesa Madafu....watu wametengeneza nchi zao na kukuza tamaduni zao ....unasema msamaha hauna maana....hata sisi weusi ni wabaguzi...unakuta mtu anamwita mtu kwa kabila lake we masai..we mchaga...we mmeru ni ubaguzi...ina maana ikitokea fursa ya kupendelea utapendelea na kubagua maana ushamuona huyu flani (jamii flani) ....
 
Ubaguzi ni tabia ya mtu binafisi sio tabia ya jamii flani
Mh hapana aisee ,Kuna ubaguzi mwingine ni jami8 fulani..Kwa mfano Kuna dini mafundisho yake yanawabagua wasio wa Dini Yao....Kuna demu aliwahi niambia amefundishwa kuwa akizini n wa Dini yake msamaha wake ni kwenda kuoga bahari ya pili.Lakini akizini nakafiri Msamaha wake ni mpaka avuke Bahari 7 Ndio akaoge🤭🤭🤭😂😂😂
 
Haya maneno waambie wagalatia wenzio wanaoona mzungu ndio kila kitu na mwarabu ndie mbaguzi
We jamaa akili zako Bwana,sasa mwarabu ndo unaona ni mtu??

Hao wote ni wabaguzi,wazungu,waarabu,wachina.

Acha kushobokea waarabu kisa ni waislam wenzako wakati huo huo wanakubagua na kukuchinja juu
 
Huu Uzi ushaingiwa na chuki za kidini, tena tunabishana sisi Kwa sisi na hapo ndo linapokuja swala la sisi watu WEUSI kuonekana ni hayawani tu tusio na lamaana 🥲🥲🥲🥲

Mimi sikatai hizo dini kwasababu zimesistiza kitu muhimu upendo ambacho atawasio na dini hawawezi Pinga upendo lakini zimeonya kuwa tusiwe mabwege kupitiliza.Haya tushajua Cha muhimu ni upendo je hao walituletea hizo dini wanahuishi huo upendo kikamilifu

Mtu mnajiona kabisa kuwa nyie ni WEUSI afu Bado mnaacha kushikamana kisa Kwa kitu cha kusadikika(Imani) ambacho pia kina sisitiza upendo
 
We jamaa akili zako Bwana,sasa mwarabu ndo unaona ni mtu??

Hao wote ni wabaguzi,wazungu,waarabu,wachina.

Acha kushobokea waarabu kisa ni waislam wenzako wakati huo huo wanakubagua na kukuchinja juu
No! Wapi nimesema mwarabu ndio mtu? Ninachosema huyo mzungu kawaonyesha wagalatia wa tz kuwa hata wazungu sio watu likija suala la rangi, ni wabaguzi kama waarabu
 
Back
Top Bottom