Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

Post #58 haina swali ila kuna swali umejiuliza na kujijibu mwenyewe.

Chochote unachokifanya kwa jina la kubeba iwe ni maarifa kichwani au kubeba mzigo mabegani au kwenye makalio hicho hicho ndiyo kinaichukua akili yako kwa % kubwa.
Una tatizo kubwa sana la uelewa ila hujajitambua tu coz akili yako ili uitumie kujitambua ndio yenye tatizo.
 
Subiri wagalatia waje wakupe sifa nzuri za wazungu
Tatizo unaathiriwa na udini mtumwa wa mwarabu mtu shetani namba moja duniani ndio wanafuata hao unaowaita wazungu
 
Nimeishi na wazungu kwao ni wapagani asilimia 99! Hii dini imebaki Kwa watu weusi tu!
Acha utani mkuu! Mbona wanasema huko ulaya na amerika kanisani wanaenda watoto na wazee tu
 
Ubaguzi uko kila mahali.hapa JF yenyewe kuna ubaguzi mkubwa tu wakidini unaendelea dhidi ya sisi kwa sisi warabu weusi na wazungu weusi.Yaani tunawatetea watu wasio jamii yetu dhidi ya sisi weusi kwa weusi kwasababu tu ya dini tulizoletewa.Ubaguzi wetu niwakijinga zaidi .Sasa nashangaa tunapomtolea povu huyo mama.Ata sisi tubadilike.Ubaguzi ni ubaguzi na upigwe vita kwa nguvu zote.
 
Subiri wagalatia waje wakupe sifa nzuri za wazungu
Mafirauni na walawiti wafuasi wa Mudi wake na sifa nzuri za Mwarabu. Walidhani nao Ni mashangazi wa kiarabu kumbe unaishi kwa Mpalange au kwa mfuga mbwa.
 
Haya maneno waambie wagalatia wenzio wanaoona mzungu ndio kila kitu na mwarabu ndie mbaguzi
Dini ni upofu na kuitumia ktk argument wakati mwingine Ni ushamba.

Majitu ambayo hayana shule kichwani na exposure ndiyo Mara nyingi yanatumia dini kujenga hoja. Muflisi!
 
Mafirauni na walawiti wafuasi wa Mudi wake na sifa nzuri za Mwarabu. Walidhani nao Ni mashangazi wa kiarabu kumbe unaishi kwa Mpalange au kwa mfuga mbwa.
We punguza makasasiriko dada, umekurupuka huko hata nguo hujavaa unakuja kuropokwa hapa
 
Haya maneno waambie wagalatia wenzio wanaoona mzungu ndio kila kitu na mwarabu ndie mbaguzi
Acha kujipendekeza kifupi ukiwa mweusi usitarajie kupendwa nangoz nyeupe labda kiunafik tu
 
Back
Top Bottom