Alijiongipea mwenyewe kamaalivyo ongooewa na Mwalimu wake! Mm hayanihusu ,kikubwa alikuwa anajihalqlisha kwangu!Huyo demu alishaisoma akili yako akakuona kua kipa katoka ndio maana akacheza na akili yako kwa kukuongopea na wewe ukameza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alijiongipea mwenyewe kamaalivyo ongooewa na Mwalimu wake! Mm hayanihusu ,kikubwa alikuwa anajihalqlisha kwangu!Huyo demu alishaisoma akili yako akakuona kua kipa katoka ndio maana akacheza na akili yako kwa kukuongopea na wewe ukameza tu.
Saint Anno II huko nyuma hawa wazungu walikuwa na ufahamu mbovu kuhusu waafrika, kwani walijua waafrika wametokana na Ham mtoto wa Noah ambaye alilaaniwa na baba yake kama ilivyoandikwa kwenye Biblia Genesis 9:22-29, kutokana na ufahamu huo ndiyo walipata leseni ya kutudharau na kutunyanyasa, laikini kuna wazungu waliyostaarabika na bado wapo wachache wenye fikra za kibaguzi mpaka hii leo.Kila kitu ukikibeba kwa mgongo na mtazamo wa kidini unakuwa huna tofauti na maiti isiyojitambua,maana kila mtu ni maiti tofauti wewe umekufa ukiwa unapumua.
Unadhani wewe kuna anaekupenda zaidi ya mama yako aliyekuzaa na wanao?huyo mkeo unaelala nae usiku huu kesho anaweza akakubagua akakuona kenge tu,awe mwarabu,mchina,mpakistan muhindi au mzungu stil kwake wewe ni nyani tu as long as una jigozi jeusi kama mkaa.pigania umoja wako wewe na weusi wenzako hao weupe wanakuona cake kwa sababu wewe ni asset kwao,kwanza ukishakosa akili ni asset mojawapo kwa weupe situation tunayoipitia leo hapa Tanzania.
www.bibleodyssey.org
Duuuh! Tafuta kwenye uislam mtu anaetwa Bilal alikuwa ni nani kwa mtume na alikuwa mweusi ama mweupe. Hao wazungu mnaowaabudu ndio hao wanatubagua magizaKwanza huyo Mohammad unayemuabudu alichukia sana weusi, alilinganisha weusi shetani, pia ukizingatia Waarabu walivyo na chuki kwa weusi.
TakbiiiiiiiiiiiirHaya maneno waambie wagalatia wenzio wanaoona mzungu ndio kila kitu na mwarabu ndie mbaguzi
Nakutaka sasa wewe uubadili uwongo wangu kuwa ukweli kwako nipe hapa ushahidi wa mimi kumtetea mzungu,mchina,muhindi,mexican etc walipomfanyia ubaya mweusi mwenzangu(muarabu simtaji najua mindset yako inaamini ndiye peke yake nipo against nae).U can't run from yourself,umeandika gazeti ila huwezi kuubadili ukweli,punguza unafiki,
Hapo ulipoandika kuniambia ''Kupitia ujinga uliorithishwa'' ndio panaelezea jinsi ulivyo,nikikuuliza huo ujinga nimerithishwa na nani? japo najua ulichokilenga,
Wewe ndio unatakiwa kutoka nje ya box,mimi ni mbeba box na sijakutana na ubaguzi wowote ule,toka usingizini,badili mazingira.
Allah AkbarTakbiiiiiiiiiiiir
Akili yangu inaniambia hao weupe wote hawatupendi sisi weusi,wanatupenda pale tu tuna kitu cha kuwa-offer kwenye muingiliano nao nje ya hapo hamna kitu.Saint Anno II huko nyuma hawa wazungu walikuwa na ufahamu mbovu kuhusu waafrika, kwani walijua waafrika wametokana na Ham mtoto wa Noah ambaye alilaaniwa na baba yake kama ilivyoandikwa kwenye Biblia Genesis 9:22-29, kutokana na ufahamu huo ndiyo walipata leseni ya kutudharau na kutunyanyasa, laikini kuna wazungu waliyostaarabika na bado wapo wachache wenye fikra za kibaguzi mpaka hii leo.
![]()
The Curse of Ham - Bible Odyssey
In the book of Genesis, Ham’s son Canaan is cursed after Ham sees Noah naked.www.bibleodyssey.org
Duuuh! Tafuta kwenye uislam mtu anaetwa Bilal alikuwa ni nani kwa mtume na alikuwa mweusi ama mweupe. Hao wazungu mnaowaabudu ndio hao wanatubagua magiza
Ireland kwenda kuishi mwafrika ni kujitakiwa kubaguliw tu ni nchi yenye umimi mwingi na wanajijali wao sana...Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana".
Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya ubaguzi wa rangi ya kijana mweusi akipuuzwa na afisa ambaye alikuwa akigawa medali katika hafla iliyofanyika mjini Dublin mwaka jana.
Mama huyo alisema kuwa kutazama tukio.
View attachment 2769782
Hilo wakati huo ilikuwa "tisho".
Taasisi ya michezo ya viungo -Gymnastics Ireland iliomba msamaha "kwa hasira ambayo iliyosababishwa" na tukio hilo.
By BBC
Jibu swali nililokuuliza post #58 acha porojo,Nakutaka sasa wewe uubadili uwongo wangu kuwa ukweli kwako nipe hapa ushahidi wa mimi kumtetea mzungu,mchina,muhindi,mexican etc walipomfanyia ubaya mweusi mwenzangu(muarabu simtaji najua mindset yako inaamini ndiye peke yake nipo against nae).
Nasisitiza wa kutoka nje ya box ni wewe na kazi yenyewe umejipambanua kama mbeba box upo uwezekano ukitua box chini akili unaziacha humo.
Post #58 haina swali ila kuna swali umejiuliza na kujijibu mwenyewe.Jibu swali nililokuuliza post #58 acha porojo,
Ukisikia kubeba box unafikiri ni kubeba box kichwani sio? upo nyuma sana ya muda,
Jibu swali kisha uliza swali.
Wewe Kenge muovu mwenye chili kubwa,wangekua Waarabu ungeshaanza kejeli kwa uislamu hapa unajizima data hautukani Ugalatia.Kimsingi ngozi nyeusi tunadharaurika sana.
Wewe Kenge muovu mwenye chili kubwa,wangekua Waarabu ungeshaanza kejeli kwa uislamu hapa unajizima data hautukani Ugalatia.
Huyo angefanya Muarabu huu uzi Wagalatia wengi haswa ambao wenye akili finyu wangeuchukia katika mtazamo wa kidini na kuanza kejeli ,matusi ,dhihaka na maneno ya hovyo dhidi ya Uislamu.Kila kitu ukikibeba kwa mgongo na mtazamo wa kidini unakuwa huna tofauti na maiti isiyojitambua,maana kila mtu ni maiti tofauti wewe umekufa ukiwa unapumua.
Unadhani wewe kuna anaekupenda zaidi ya mama yako aliyekuzaa na wanao?huyo mkeo unaelala nae usiku huu kesho anaweza akakubagua akakuona kenge tu,awe mwarabu,mchina,mpakistan muhindi au mzungu stil kwake wewe ni nyani tu as long as una jigozi jeusi kama mkaa.pigania umoja wako wewe na weusi wenzako hao weupe wanakuona cake kwa sababu wewe ni asset kwao,kwanza ukishakosa akili ni asset mojawapo kwa weupe situation tunayoipitia leo hapa Tanzania.
Wamefanya Wazungu ingependeza vilevile kutoa generalization kuwa Bible ndivyo inaelekea hivyo na Ukiristo ni dini ya hovyo sana kama ambavyo ungefanya na unavyofanya inapokuwa kwa Waarabu.Nimetoa generization,ngozi nyeupe wote wanatuona ngozi nyeusi kama manyani.
Sisi sote wanadamu tuna tabia ya ubaguzi kwa asili ya ubinadamu wetu, hata sisi waafrika huwa tunabaguana kutokana na makabila yetu, ukanda wetu, imani zetu n.k. Lakini ubaguzi mbaya ni ule ambao unamuathiri mbaguliwa uhuru wake, uchumi wake na saikolojia yake. Kikitokea chama kinapinga ubaguzi kwa maneno na vitendo hicho ni chama sahihi, ikitokea imani inapinga ubaguzi kwa maneno na vitendo hiyo ni imani sahihi.Akili yangu inaniambia hao weupe wote hawatupendi sisi weusi,wanatupenda pale tu tuna kitu cha kuwa-offer kwenye muingiliano nao nje ya hapo hamna kitu.
Nikisema weupe jumlisha wote,wachina hao wazungu waarabu wahindi in short wote weupe ondoa albinism
Nachukia mieusi inavyoshobokea hawa watuKimsingi ngozi nyeusi tunadharaurika sana.