Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Hapo sawa,wazungu nao ni vile vile tu.No! Wapi nimesema mwarabu ndio mtu? Ninachosema huyo mzungu kawaonyesha wagalatia wa tz kuwa hata wazungu sio watu likija suala la rangi, ni wabaguzi kama waarabu
Wanakuonesha wanakukubali ila deep down ni mashetani sana tu.