Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

Kwa nini Allah hakuzuia kutekekwa, kuteswa na kuuliwa kwa Ali Kibao??
Allah katuopa uhuru wa kufikiri. Huo ni mtihani kwa marehemu na kwetu. Tutakufuru au tutashukuru?

Mpaka sasa kama wapo waoijuwa siri ya kifo chake basi hawajaiweka wazi.
 
Wewe ndiye unatetea ujinga tu, hakuna mtoto mdogo humu wa kuamini hizo nadharia zako. Mumeua basi, Mungu ndiye hakimu wa haki.
Hakuna "basi" wala taxi kwenye mauwaji. Lazima kifo kichunguzwe, kuwekwa wazi uchunguzi ni suala lingine kabisa.
 
Mungu wetu ni wa kisasi atalipa kisasi kwa wote waliopanga kubariki na kutekeleza mauaji yale.
 
Mambo mengine jamani!aiseh!

Nashauri kaeni kimya msiongee na Rais Wala mamlaka yeyote!!

Mkashtaki kwa Mungu Kwa sauti!

"Mungu tunakushukuru juu ya maisha ya Baba yeti,tunashukuru juu ya dhulma ya uhai wake,Fanya jambo ili mioyo yetu itulie tunaumia sana!!

Unaweza kuomba Dua hiyo Kwa kuanza na suratil fatiha ,halafu ikhilaswi ukaisoma mara tatu ndio ukayasema hayo !na kweli Mungu Mwenyezi akajibu vema hapo mwakani kuelekea uchaguzi mkuu!!
 
So ironic! So sad, Mzee kibao, kauliwa na serikali, Kizimkazi, anajua,hakuna kenge wa ccm asiyejua hili,
It's crazy kwenda kuomba msaada kwa mtu alive toa ruhusa, huyo mpinzani ashughurikiwe,
Forced disaperence, political assassination, hufsnywa na serikali, na Rais anapata breafings.
 
Iko wazi kabisa kwa hotuba ile ya mama Kizimkazi ni kwamba wauwaji na watekaji wanatekeleza maagizo ya serikali!!
Na wanalindwa hasa!! hata ukimwona na kumjua mtekaji wako na ukamtaja hafharani hataguswa!!
Tunao mfano kutoka kwa Sativa!!
 
Kwa andiko lako hili linatosha kusema wahusika wote kwenye mauaji yale unawafahamu vema.
 
Yaani ni Mungu atunusuru maana tunakoelekea hakueleweki.
 
"Hakuna muuaji kama.... Hakuna na hatakuwepo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…