DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kuna kila dalili kwamba viongozi wakuu wa vyama vya upinzani waliotajwa katika report ya CAG wanatoka CHADEMA.Hii inatokana. na sintofahamu,taharuki na nia ya dhati kupotosha ukweli,dhihaka kwa watetezi na kuwachafua imejionyesha dhahiri chini ya vibaraka wao mjepo Nguruvi3 Yericko Nyerere IKWETE POMPO.
 
Last edited by a moderator:
Suala hili limeanigusa kipekee naumia sana nasononeka sana kuona tabia ya kuiba fedha za UMMA uku na viongozi wa upinzani wakitajwa. Hapa "Black Movement Uprising" is inevitable. Ndg, Watanzania hii ni hatari kwa Taifa maskini kama letu watu wanajinufaisha tu wao huku tukiwa bado kwenye umaskini wa kutisha nenda vijijini hakuna maji, umeme, afya boro na uzazi salama kwa mama yangu na mama yako wewe, elimu ni shubili, miundo mbinu ni patashika, wakulima, wafanyakazi, wavuvi na wafugaji ni balaa tupu tumekuwa Taifa la dhuruma kila mpata nafasi ni kuiba, kuaribu na kuvunja hakuna anayejali wote wamepotoka kwa wizi wa mali za UMMA. Mwl Nyerere naamini upo nipe moyo wa ushujaa kuiokoa Afrika na watu Mungu tangulia wote wenye nia ya dhati kulikomboa Taifa langu Tanzania Usawa na Ubinadamu wetu ni muhimu sana. Lot's Of Love To All Reformers.
 
Huyu Yeriko amekua mara nyingi akileta mabandiko ya kipuuzi.unapata raha gani kutunga na mimi nawashangaa waliochafuliwa peleka muhunu huyu mahakamani

Acha kutafuta huruma ya mods jenga utetezi kuonyesha uongo wake ili tukuelewe.
 
Chadema tabia ya kuchafua watu msidhani siku mkipata madaraka mtabaki salama.lengo lako ni nini kama unadiriki hata kutaja vitu bila ushahidi.shame on you

Eti shame on you, oonh sijui hamtabaki salama kwanza nani kakuambia msimu wa uongozi ujao watu wanataka kubakishana salama wakati wa kizungumkuti???!!

Kama havina ushahidi ashitakiwe ili tabia hiyo ikome once and for all!!!
 

na kuna kitu mimi huwa nakiona ni bora cha cha upinzani kichukue madaraka kama itafanikiwa

lakini wananchi wakiamuaaaa kufanya changes bila vyama yaani nguvu itakuwa balaaaa tutaumizana sana.it will be caos
 
Familia ya jk ni kubwa sana sijui inawezaje kuhusika yote watanzania wote ni familia ya jk kama hawa.

Siku zote unapoamua kuzungumza au hata kuandika bila woga matokeo yake ni kupimwa kawa tafsiri tofautu, huenda una HEKIMA NA BUSARA au MPUMBAVU!

Nadhani aliye andika huu UZI anamaanisha FAMILIA kwa mantiki ya UZAO WAKE KWA DNA!
 
Mkuu Cheyo hana impact kweli?
Mwenyekiti wa TCD, au umesahau michango yake bungeni kuhusu kuuponda upinzani?? think broader
Tatizo ni kwamba hana watu nyuma yake. Mtu kama Cheyo chochote atakachosema watu watampuuza tu kwa sababu ameshadhihirisha hiyo element ya upinzani hana. Mtu yeyote atakayetaka kucheza mchezo kama huo ni lazima awe na time inayoaminika... kwa mfano, kwa upande wa CCM huwezi kumuhonga mtu ambae unajua A-Z kwamba hata asipopewa chochote lazima ataitetea tu serikali yake lakini utatafuta watu ambao wanaonekana kama rebellious kwa serikali yao wenyewe ambao hata wakipinga kwamba hakuna wizi watu wanaweza kuamini kwavile hapo kabla walishajenga tabia ya "kutoogopa" panapo ukweli! Kwa CCM watu kama akina Kangi Lugola, yule mbunge wa Simanjiro, akina Filikunjombe, Kessy nd the like ndo watu wa kuwaangalia na ukija huku upinzani huna haja ya kupoteza muda kwa mtu kama (nimesahau jina... yule mrs. Nyerere), Cheyo, Mrema ambao unajuwa kila mtu ameshawapuuza! You pay millions only to credible voices but not any voice... hivi assume umempa fungu lake mtu kama Lema, Mbowe Dr. Slaa, (kama angekuwa mbunge), Zitto(ingawaje watu hawamuamini), unafikiri utahitaji back up nyingine zaidi ya hao?
 
Duh! Mkuu, hapo mjepo umemuingiza kimakosa
 
doh aiseeh mianne kwa siku.salaleeeee watanzania tukinyamaza apa na kuendelea kulalamika maisha magum t will be a first classy mistake stuka.mtanzania pambana hii.nchi.ni yetu haiwezekan watu.wanakufa.mahospitalin alafu kuna ka familia kanalipwa milion mia nne kwa.siku.ajabu.sana
 

Hivi kuna namna ya kumshtaki na kumuondoa Rais kabla ya 2015? This is too serious to have this nuts in the highest office of the country!!
 
Hivi kuna namna ya kumshtaki na kumuondoa Rais kabla ya 2015? This is too serious to have this nuts in the highest office of the country!!
Kwani unadhani Rais anaweza kuondolewa kwa uzushi wa wapuuzi kama akina Yeriko?
 
kwa huu ukweli lazima serikali ya ccm iwajibike hatuwezi kuendelea kuvumilia huu upuuzi wa ccm tena
 

Halafu kinachokera zaidi ni hii michango ya ujenzi wa maabara, wazazi wetu masikini wanakimbia familia zao sababu ya huu upuuzi kumbe mshiko mnene unanufaisha familia zisizozidi 10.Nadhani upinzani wajipange wachukue dola kidemokrasia rather than mapinduzi au kuingia barabarani, haitaleta afya kwa watanzania.ukawa wajipange vizuri maana karata wanazo za kutosha kwa sasa
 

JK yupo USA kwenye matibabu
 
hata mimi naweza kutunga ka stori kangu ka kutaja taja majina humo ndani ikaonekana kama kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…