OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Sasa kama mzushi si mahakama zipo, we una huruma sana na mtoa hoja??!!!Kaka MSALANI, hakika inasikitisha sana uzushi wa Yeriko unaachwa muda wote huu. Wadau wengi wamemuomba athibitishe lakini mpaka sasa ameshindwa kuweka huo ushahidi sana sana anaongeza porojo tu
Hardliners tunasema adui yako akiwa anafanya kosa litalomgharimu muache, sasa wewe unahangaika nini! !!
Nasaba zako ziko kwa mtoa hoja kuwa atashindwa kujitetea au wanaoshutumiwa kuwa wanaonewa???!!
You deserve a bullet through your skull base sababu ni kama popo nusu ndege nusu mnyama!!