Mkuu Olesa,
1. Kwanza asante, ila nakuomba usitetee inconsistances na contradictions!, kama amefanya uchunguzi Brella, na kuibuka na majina ya wamiliki, mtu huyo, kwenye posti hiyo hiyo, hawezi tena kuuliza wamiliki ni nani?!.
2. Mwisho wa fiduciary relationship kati ya mzazi na mtoto, inaishia pale mtoto anafikia "the age of the majority!", hivyo chochote kinachofanywa na mtoto above 18 years, motto huyo anakuwa resiponsible, hata kama pesa alipewa na wazazi!, huwezi kumwingiza mzazi kwenye shaky deals za mtoto above 18!. Hapa tuko kisheria zaidi, ila kwa upande wa morality, hayo ni mengine, after all makosa ya morality mengi sio criminal!.
Pasco.