DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Watanzania wana akili sana. Hawawezi kuandamana kwa uzushi kama huu
kwenye epa nayo ilikuwa uzushi...hii nayo mpk imeingia bungeni...kwann kina kafulila wasifungwe kwa kuleta maneno ya kizushi!
kila kitu kimekuwa siasa nchi hii..itakuwa ngumu kutofautisha uongo na ukweli maana serikali ka haipo..
 
Familia ya jk ni kubwa sana sijui inawezaje kuhusika yote watanzania wote ni familia ya jk kama hawa.

Mbona wametajwa majina! Wacha kujipendekeza kwa mijizi mbwakoko wee!!!
 
Viongozi wawili wakuu wa vyama vya siasa vya upinzani nchini wameonekana katika orodha hiyo pia.
Mkuu Yericko, naomba utujuze pia majina ya viongozi hao wa upinzani
Mkuu, hayo majina hawezi kukutajia
 
kwenye epa nayo ilikuwa uzushi...hii nayo mpk imeingia bungeni...kwann kina kafulila wasifungwe kwa kuleta maneno ya kizushi!
kila kitu kimekuwa siasa nchi hii..itakuwa ngumu kutofautisha uongo na ukweli maana serikali ka haipo..
Dongo, hoja hapa ni Yeriko kuitaja familia ya JK kuhusika na Escrow. Tumemtaka athibitishe ila mpaka sasa kakimbia mjadala
 
Ndo maana mkuu anatibiwa marekani wakati mhimbili kuko hoi na serikali inadaia pesa nyingi na MSD

View attachment 201051
Rais kutibiwa marekani siyo inshu kubwa...muhimu ni afya na hali inaruhusu...tofauti lazima iwepo tu, upende usipende...
Wakulaumiwa ni watendaji na watumishi serikalin,kila mmoja kwa nafsi yake...maana mengine yapo katika uwezo wetu ila twaishia kutafuta wachawi...
 
sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya
Duniani tuna watu wa aina hizi
1. Kuna wale wanaoogopa matendo yao mabaya kutajwa hadharani (i.e hawahofii kuyatenda)
2. Kuna wale wanaoogopa matendo mabaya
3. Kuna wale wanaoochukia kusikia matendo mabaya ya wapendwa wao yanatajwa hadharani...
4. Kuna wale wanaoohofia wapendwa wao kutenda matendo machafu
 
Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa rais, JK alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani.

Ndio maana jamaa kapata mshtuko wa ghafla uliomletea busha!!! Sikuwahi kuunganisha hili!!!!
 
Unapata faida gani kutungia watu uongo? Miraji na Salama fungua mashtaka haraka iwe fundisho kwa watu wa aina hiii
 
Kikwete ni rais wa ajabu na haitakuja kutokea tena hadi mwisho wa dunia kuwa na rais wa ajabu kama huyu. Sijui nimfananishe na nini tu yaani. Kikwete hakuingia madarakani kwa ajili ya kuleta maendeleo bali kuiba rasilimali za nchi yeye pamoja na marafiki zake
 
Dongo, hoja hapa ni Yeriko kuitaja familia ya JK kuhusika na Escrow. Tumemtaka athibitishe ila mpaka sasa kakimbia mjadala
Yericko yeye kaanika...cye tuangalie kwa pande zote mbili na watu wa makumbusho wafanyie kazi...ka sio kweli wamchukulie hatua maana watu wa haina hii ndio hupandikuza chuki kwa wananchi dhidi ya viongozi...KAMA NI KWELI......inaumiza sana,hii nchi ni yetu sote,hatuna pa kukimbilia.
 
Kumbe Yeriko Nyerere umekuwa mbea kiasi hiki? Khaaaaa! Njoo uchukue kanga yangu nikuvalishe
Kutokana na Kamusi ya Kiswahili ya Karne ya 21;
1. umbea/umbeya - tabia ya kutoa habari bila ya kutumwa au kuulizwa
2. uongo/uwongo/urongo - hali au tendo la kudanganya kwa maneno yasiyo na ukweli; uchuku.

Ili mradi Yericko hakudanganya, nakushauri Hot Lady ubaki na midabwada yako unayoiita kanga au wapelekee vijogoo na wakwale pale Lumumba!
 
Back
Top Bottom