Mh! Sasa nimejua kwanini Prof wa Kichina anapigia Chapuo KATIBA YA MAFISADI.Kweli niliambiwa na Baba kua uyaone,nimeyaona.
Katiba pendekezwa kwa hakika kabisa imembeba Kikwete kwa kumsetiri kwenye ufisadi unaohusisha familia yake. Issue ya Escrow hatukujua kama nayo yumo. Tunashangaa tu Rais anatunga safari zisizo na mpango kukimbia report za CAG na PCCB, atazikimbia mpaka lini. Maji ameshayavulia nguo inabidi tu atumbukie ayaoge. Arudi hapa nchini, ajiuzuru amuachie Urais Judge Mkuu na uchaguzi mwingine ufanyike mwezi wa nne mwakani, pindi daftari litakapokuwa updated. Tumechoka