Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, Halafu tunadanganywa eti IPTL itashusha gharama ya umeme toka 400 mpaka sh. 80 kwa Unit....!!! kumbe tayari wanajipatia tsh Ml 400 kwasiku Wazalishe wasizalishe...!!!!.. Poor Tanzania
BACK TANGANYIKA
Minabusu, hapa sasa tunazungumzia vitu vingine tofauti, mimi nazungumzia umiliki wa kampuni kwa mtoto ni independent ya mzazi!, wewe sasa unaleta mambo ya eskrow!.
Mambo ya kampuni yanaitwa duniaya ya makampuni, "the corporate word" ambapo kampuni kisheria ni mtu, an entity of its own, independent na wamiliki!, na ikitokea mmiliki ni mtoto wako, wewe kama baba huna any legal resiponsibility kwa mwanao over 18!, akiboronga, ameboronga yeye!.
Kampuni inaweza kushitakiwa mahakamani na ikatozwa fidia ikalipa bila wamiliki kuhusika kwa lolote!, ila inapotokea, kampuni ikafanya kosa la jinai, la kulazimisha mtu kwenda jela!, hapo ndipo mahakama hufanya kitu kinaitwa "un veil the corporate veil" ya wamiliki, ambao sasa ndio watashitakiwa kwa kosa la jinai na watakwenda jela!.
Tukija kwenye issue ya escrow, hii ni account maalum ambayo hufunguliwa kunapotokea ugomvi wowote kati ya wamiliki, mfano Mimi Pasco wa JF na Muna, tumeanzisga kampuni yetu ya PASUMUNA, then tukatofautia kuhusu umiliki, au mgao wa faida, mimi nakushitaki na mahakama inaamua, kufuatia ugomvi wetu, fedha na mali za kampuni, zitakuwa chini ya uongalizi wa BOT hata suluhu itakapo patikana!.
Ndivyo ilivyokuwa IPTIL wabia ni mtu anayeitwa James Rugemalila wa Mabibo wines ameingia ubia na kampuni ya Mechimar ya Malesia kwa makubaliano ya 70/30, wakapata tenda Tanesco, mgao ulipotoka Mlalesia akagoma kumlipa Rugemalila ile 30 % yake kwa hoja ni kubwa mno huku Ruge amechangia mchango sifuri!, ndipo Ruge akaenda mahakamani kumshitaki partner wake!. Sasa hapa ndipo escrow account ikafunguliwa hadi mgogoro uishe!.
Singa Singa wa PAP akala dili kujifanya ameinunua IPTL 100% percent, na kuwasilisha vithibitisho vya ununuzi, Ruge akafuta kesi, hivyo kukawa hakuna tena kesi, kufuatia taarifa ya kufutwa kesi BOT ikaifunga hiyo escrow na kumpa Singasinga fedha zote!.Kama BOT ilifungua escrow kufuatia mgogoro, sasa mgogoro umeisha, kwa nini asirelease hizo funds!.
Uchunguzi ukithibitisha Singa Singa ni tapeli, hakununua, hapo ndipo kutakuwa na ngoma!. Na kama parners wa Singa Singa ni kijana na binti mfame, mfalme hahusiki!, ni vijana wake wakubwa!.
Nawaomba tusishabikie sana suala la nani ni mmiliki, hivi mnajua kuwa Richmond ndio Dowans ndio Simbion, mashine ni zile zile, gharama ni zile zile, na wamiliki ni wale wale, ila tuu, majina ndio wamebadili!, kuna anyone anaye bother mmiliki wa Simbion ni nani?!.
Pasco.
mwamnyange chukua nchi tuwe kama bukinafaso, kuamuka tikimbie mchakamchaka au kila eneo liwe smart area! Shame tanzania shame tanzanian community.
Epa jamaa walichama hela wako kwao wanakula kama kawa
richmond wakala mahela wako kwao na ni viongozi hawanamburi (shida)
pia wanakaribia kuwa maraisi 2015, kama sikosei
ikaja change ya rada jamaa wakazipiga na sasa wako wanakamirisha kuandaa katiba (toba)!!!!!!!!!
Sasa escrow nayo ndo hiyo!!!!!!!!!!!!
Utawakuta akina makonda wanapewa vihera kuwanyamazisha wanao taka kuweka nchi kwenye mstari
hivi watanzania wote tuko msikule????????????????????????????????????????????????
Kwanini mwamnyange usinusuru hii nchi??????????????
sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya
duh! Naona ndo umeamka baada ya kukesha kubadili wanaume Jolie Club. Haya sasa hoja hii ina uhusiano gani na escrow?
Yericko na bangi zake za kuvutia chooni anakuja kupotosha hoja ya ukweli huwa haiko hivyo mwambie zitto mjipange upya jk anafanya maendeleo kama haya
View attachment 200994
sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya
Yericko na bangi zake za kuvutia chooni anakuja kupotosha hoja ya ukweli huwa haiko hivyo mwambie zitto mjipange upya jk anafanya maendeleo kama haya
View attachment 200994