DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

DOKEZO Familia ya Rais Kikwete yahusika ufisadi wa ESCROW

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Yaani familia ya 'mr. dhaifu' inakwiba na kujichotea tuu kodi zetu huku ma-ccm wakiwapigia makofi na vigele!

kweli nchi hii ina laana
 
Big up sana kamanda Yericko Nyerere na bado lazima tuwaanike mmoja baada ya mwingine hadi kieleweke, maana ukoo wa panya CCM wamekosa haya na staha, baba, mama, mtoto, mjomba, shangazi,binadamu majirani, wajukuu WOTE WEZI.
 
Last edited by a moderator:
Duh, Halafu tunadanganywa eti IPTL itashusha gharama ya umeme toka 400 mpaka sh. 80 kwa Unit....!!! kumbe tayari wanajipatia tsh Ml 400 kwasiku Wazalishe wasizalishe...!!!!.. Poor Tanzania

BACK TANGANYIKA

Kuna watu walishadadia eti IPTL wamesema watashusha bei ya umeme. Kwa gharama hizi hata kama uzalishaji sasa ungekuwa bureeee, bado gharama ingekuwa juu tu maana tayari kuna watu wameamua wajilipe bila hara kufanya kazi. Ngoja tusubiri tuone hiyo 2015 ambayo ndio tuliambiwa umeme utapunguzwa bei...
 
Minabusu, hapa sasa tunazungumzia vitu vingine tofauti, mimi nazungumzia umiliki wa kampuni kwa mtoto ni independent ya mzazi!, wewe sasa unaleta mambo ya eskrow!.

Mambo ya kampuni yanaitwa duniaya ya makampuni, "the corporate word" ambapo kampuni kisheria ni mtu, an entity of its own, independent na wamiliki!, na ikitokea mmiliki ni mtoto wako, wewe kama baba huna any legal resiponsibility kwa mwanao over 18!, akiboronga, ameboronga yeye!.

Kampuni inaweza kushitakiwa mahakamani na ikatozwa fidia ikalipa bila wamiliki kuhusika kwa lolote!, ila inapotokea, kampuni ikafanya kosa la jinai, la kulazimisha mtu kwenda jela!, hapo ndipo mahakama hufanya kitu kinaitwa "un veil the corporate veil" ya wamiliki, ambao sasa ndio watashitakiwa kwa kosa la jinai na watakwenda jela!.

Tukija kwenye issue ya escrow, hii ni account maalum ambayo hufunguliwa kunapotokea ugomvi wowote kati ya wamiliki, mfano Mimi Pasco wa JF na Muna, tumeanzisga kampuni yetu ya PASUMUNA, then tukatofautia kuhusu umiliki, au mgao wa faida, mimi nakushitaki na mahakama inaamua, kufuatia ugomvi wetu, fedha na mali za kampuni, zitakuwa chini ya uongalizi wa BOT hata suluhu itakapo patikana!.

Ndivyo ilivyokuwa IPTIL wabia ni mtu anayeitwa James Rugemalila wa Mabibo wines ameingia ubia na kampuni ya Mechimar ya Malesia kwa makubaliano ya 70/30, wakapata tenda Tanesco, mgao ulipotoka Mlalesia akagoma kumlipa Rugemalila ile 30 % yake kwa hoja ni kubwa mno huku Ruge amechangia mchango sifuri!, ndipo Ruge akaenda mahakamani kumshitaki partner wake!. Sasa hapa ndipo escrow account ikafunguliwa hadi mgogoro uishe!.

Singa Singa wa PAP akala dili kujifanya ameinunua IPTL 100% percent, na kuwasilisha vithibitisho vya ununuzi, Ruge akafuta kesi, hivyo kukawa hakuna tena kesi, kufuatia taarifa ya kufutwa kesi BOT ikaifunga hiyo escrow na kumpa Singasinga fedha zote!.Kama BOT ilifungua escrow kufuatia mgogoro, sasa mgogoro umeisha, kwa nini asirelease hizo funds!.

Uchunguzi ukithibitisha Singa Singa ni tapeli, hakununua, hapo ndipo kutakuwa na ngoma!. Na kama parners wa Singa Singa ni kijana na binti mfame, mfalme hahusiki!, ni vijana wake wakubwa!.

Nawaomba tusishabikie sana suala la nani ni mmiliki, hivi mnajua kuwa Richmond ndio Dowans ndio Simbion, mashine ni zile zile, gharama ni zile zile, na wamiliki ni wale wale, ila tuu, majina ndio wamebadili!, kuna anyone anaye bother mmiliki wa Simbion ni nani?!.

Pasco.

mkuu humu JF sasa hivi kumejawa tu ushabiki wa kisiasa pasipo kuelewa kinachozungumziwa ni nini. Mtu anatoka mapovu lakini ukimuuliza akueleze ishu nzima ya escrow unakuta hata hajui. Kuna wakati zitto alishauri tanesco inunue mitambo ya dowans, watu wakamshambulia bila kuchambua hoja zake, sasa hivi tunalipia mitambo hiyo hiyo ikiwa chini ya symbion kihalali kabisa. Naona walifurahi kuona symbion inazinduliwa na mama clinton wakasahau ni mitambo ile ile "chakavu".
 
mwamnyange chukua nchi tuwe kama bukinafaso, kuamuka tikimbie mchakamchaka au kila eneo liwe smart area! Shame tanzania shame tanzanian community.

Epa jamaa walichama hela wako kwao wanakula kama kawa
richmond wakala mahela wako kwao na ni viongozi hawanamburi (shida)
pia wanakaribia kuwa maraisi 2015, kama sikosei
ikaja change ya rada jamaa wakazipiga na sasa wako wanakamirisha kuandaa katiba (toba)!!!!!!!!!
Sasa escrow nayo ndo hiyo!!!!!!!!!!!!
Utawakuta akina makonda wanapewa vihera kuwanyamazisha wanao taka kuweka nchi kwenye mstari
hivi watanzania wote tuko msikule????????????????????????????????????????????????
Kwanini mwamnyange usinusuru hii nchi??????????????

Nchi hii ilishaoza huyo unayemuita inawezekana alishachukua chake mapeeeeema.
 
Tuziweke records sawasawa..........
Yerricko hajawahi kuleta ubaoni kitu cha maana zaidi ya majungu na umbea. Hata hili ni ujinga uleule wa BAVICHA.
Hahahaaaaaaaaaa ni MENDE TUU HAWA.
 
duh! Naona ndo umeamka baada ya kukesha kubadili wanaume Jolie Club. Haya sasa hoja hii ina uhusiano gani na escrow?

Kwa kipofu kama wewe ningeshangaa kama ungeona uhusiano uliopo, so I am not disappointed!
 
watanzania tunatakiwa kufumbua macho na kuwaza hata kwa vizazi vijavyo,hakuna anayezikwa na ghorofa wala nyumba ila sifa bora kwa watanzania itakuwa ni umeifanyia nini nchi kwa ajili ya vizazi vijavyo,tunabezana kwa kuwa na fikra fupi ya kutazama leo na chakula cha leo bila kufikiria vizazi vinavyokosa mlo hata wa siku moja vya sasa na vya baadae,kitendo cha kuongezea mkataba wa capacity charge kutoka mil 150 kwa siku kwenda 400mil kwa siku ni dalili ya ufisad haitajiki uchunguzi wa kimataifa,kama mwemye kampuni inamlipa kwanini asipewe uwezo ku generate umeme na kuuza kama tanesco kwa kubadili sheria,pili kitendo cha kampuni ya kutoka australia kuitwa simba nayo ni dalili ya ufisadi,je wakati wanaanzisha kampuni ya simba alijua atapata tenda tanzania??kwa kifupi inaonekana ni ya mafisadi walio nje ya hiyo kampuni,tatu kitendo cha viongoz wa juu kuanza kuitetea kabla ya uchunguzi nayo inatia mashaka juu uhalali wake,nne kitendo cha kutoa hela BOT wakati mkataba ulikiukwa wa capacity charge mwaka 95 nayo ni dalili ya ufisadi,watanzania tubadilike tuache kuwa na mahaba na upande ila tuwe wazalendo wa kweli,tuukatae ujinga
 
Yericko na bangi zake za kuvutia chooni anakuja kupotosha hoja ya ukweli huwa haiko hivyo mwambie zitto mjipange upya jk anafanya maendeleo kama haya
View attachment 200994

unafikiria makalio wewe

mtawaadaa watanzania hadi lini unajua huo ni mkopo kutoka benk ya dunia na unajua unalipwaje shame on you.
deni la taifa lomefikia kiasi gani katafute data kwanza ya deni la taifa na uoanishe na hayo maendeleo unayoyaona
 
Wacha tu utokee mtikisiko mkubwa nchini, tumewachoka hawa mafisadi, WALIPULIWE TU!
 
Duuu.Kweli mwenye nguvu mpishe.
Huyo Salima Kikwete si yule alifeli form four peke yake mwaka juzi?
Sasa anaingiza 50m kwa siku?
Tz is not fair.
 
sasa unajiuliza nini wakati mwanzo umetaja majina ya wamiliki wa hiyo kampuni? Acha kuchafua watu tena mbaya zaidi unamchafua mkuu wa kaya

Nafikiri ili kuona nani mkweli na nani mwongo mambo yakae hadharani! Tumechoshwa na habari sinazokuja kama tetesi tetesi halafu baadae zinageuka kuwa ukweli.
 
nimeamini chadema ni wavuta bangi na viroba hivi,na hata wanaoutumika kuchafua watu hawana akili. mke wa Rais anaitwa Salma na mtoto wake anaitwa Salma. hizi si mila mila za watu wa mujini bana labda hao jamaa wa matongotongo kama mleta mada. kwa hii taarifa ni ya kupika kumchafua Rais na familia yake kwa makusudi. hamumpati huyo ni mutoto wa mujini bana.
 
Yaani Leo kijiweni kwetu hii habari ya Simba na wamiliki wake watoto wa Kikwete ndio habari ya mjini,,, kijiwe kimejaa, kahawa inatembea, tangawizi inanywewa, supu ya pweza ndo usiseme ,, but stori kubwa ni watoto wa Kikwete kuvuta 200M kwa siku
 
jiulize akili yako mama anaitwa Salma na mtoto anaitwa Salma,hii haiwezi kuwa habari za vijiwe vya kahawa labda kwenye viroba,mbege,bangi na unga huko ndio kwenye mijitu mijinga
 
Yericko na bangi zake za kuvutia chooni anakuja kupotosha hoja ya ukweli huwa haiko hivyo mwambie zitto mjipange upya jk anafanya maendeleo kama haya
View attachment 200994

Hata kama yeye mkuu wa nchi hausiki, ila kama watoto wake wamekula njama kuihujumu nchi wanatakiwa waburuzwe kortini wao kama wao as long ni +18 years!
 
Back
Top Bottom